Balozi Mwamweta na Anthony Mtaka wasaka soko la parachichi nchini Ujerumani

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
ae9ef9f1-00ad-4b0a-bfd0-5258b1a59aeb.jpeg
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit Logistica 2026 yanayofanyika Berlin kuanzia Februari 03 hadi 06, 2026.

Ujumbe huo unajumuisha Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA), Bw. Saleh Saad Mohamed unatumia maenesho hayo kupata fursa ya kutanua masoko kwa kuongeza masoko mapya, kuongeza mtandao wa wafanyabiashara na kujifunza maarifa mapya kuhusu kilimo-biashara.
395fd636-9b7d-4345-8bb7-894c8c8e0bc0.jpeg
7e1ed887-9b36-454e-9f52-dc87b0bca39b.jpeg
Kampuni zaidi ya 40 kutoka Tanzania kwa kushirikiana na Taasisi za TAHA, Mamlaka ya Udhibiti Nafaka na Mazao mchanganyika (COPRA) na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) wameshiriki Maonesho hayo ambayo yamehudhuriwa na kampuni zaidi ya 2600 kutoka nchi 151 duniani.

Fruits Logistica ni Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ambayo huwaleta pamoja wakulima, wasambazaji, wanunuzi, wasafirishaji na wadau mbalimbali katika mnyororo wa usambazaji wa matunda na mbogamboga kutoka duniani kote.
 
BALOZI MWAMWETA NA MTAKA WASAKA SOKO LA PARACHICHI UJERUMANI

Ni nani anayewaambia tunataka masoko
 
Mavi, tunataka uhuru na uwajibikaji wa 29 Oct.
Mengine yote ni MAVI
 
Back
Top Bottom