Balozi Nchimbi: Moyo wa Msamaha ndio Utakaolijenga Taifa Letu

Balozi Nchimbi: Moyo wa Msamaha ndio Utakaolijenga Taifa Letu

Huyu jamaa anashindwa kumshauri mwenyekiti wake au anaigiza. Ccm haiishi maigizo
 
Msamaha gani gani, asizuge huyo jamaa. Huyo Nchimbi ni muumini wa RC, anazuga baada ya kuona kanisa analosali kureact negatively na mwenendo wa chama na serekali yao kwenye mambo ya haki. Anacheza na maneno ili kujionyesha ni mnyenyekevu huku kwenye vikao vya wachawi ndio mpanga hujuma mkubwa.
 
"Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.

View attachment 3311142
Nani amsamehe nani? Kumsamehe mtu ni hiari siyo lazima. Unitwange risasi 38 halafu nikusamehe? Hapana. Ulikusudia kuua. Labda mngeomba moja kwa moja kuwa Lisu utusamehe. Kitu mlichofanya ni ukatili mkubwa ambao hauwezi kusameheka.
 
washauri wake kwann hawamwambii awe anavaa miwani mweusi

au anahawala anamwambia hayo macho lembuzi anayolembua akiongea na watanzania yanamvutia
 
Back
Top Bottom