Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Moyo wa haki yule mjinga Nchimbi?.Moyo wa Haki
Moyo wa haki yule mjinga Nchimbi?.Moyo wa Haki
Wewe unakung'utwa 48/14,yaani kila dakika.We sijui unakung'utwa 24/7?!!!!! Mbona umejaa ujinga ujinga muda wote?!!!!!
KwendaNo reforms no election
Wanatuona wajinga,sisi tushaerevuka miaka hii,tumenyonywa na kufanyiwa ukatili muda mrefu. Mtatawala kwa tabu sana,TAL aaachiwe,hao viongozi wa Tume wapewe hata ubalozi huko,iundwe tume huru kweli,siyo kuongeza maneno tu,mnasema tume huru
Lete ushahidiKwa njama anazofanya za kuagiza viongozi wa Chadema wakamatwe kwao Songea ndio msamaha huo?
Hamna hojaUnamkamata mtu sababu anataka uchaguzi huru na waki,na wewe huku unajua bila kuiba kura hutoboi
Very Good !."Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
View attachment 3311142
"Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
View attachment 3311142
Wezi wakubwa nyie ma ficiemu 😀😀Kwenda
Songea walikuwa wamelala usingizi mzito ila issue ya makaa ya mawe hotuba ya Chadema imewaamsha na hawatarudi usingizini tena. CCM wamehofia amsha amsha ikiendelea wananchi hawatadanganyika tena.Kwa njama anazofanya za kuagiza viongozi wa Chadema wakamatwe kwao Songea ndio msamaha huo?