Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Kiparata wewe...hata mkuu Evelyn Salt analijua hiloMsamaha wa dhambi tuliupata Calvary
Pendo Kuu la Yesu
Mamajusi Kwaya - Moshi uchagani š
Kiparata wewe...hata mkuu Evelyn Salt analijua hiloMsamaha wa dhambi tuliupata Calvary
Pendo Kuu la Yesu
Mamajusi Kwaya - Moshi uchagani š
Yesu hadhihakiwi na Mungu pia Free TAL hana hatia"Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
View attachment 3311142
Huyu naye ni moja ya viongozi kwanza wenye majungu na hata haiba yake inaonesha!"Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
View attachment 3311142
Huyu Mzee utadhani ni Malaika anavyoigiza kama mtu wa maana kumbe tapeli ni hatari sana!Mungu ana kazi. Hili nalo tapeli linaongea Nini?
Nani amsamehe nani?"Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
View attachment 3311142
We sijui unakung'utwa 24/7?!!!!! Mbona umejaa ujinga ujinga muda wote?!!!!!Kwa njama anazofanya za kuagiza viongozi wa Chadema wakamatwe kwao Songea ndio msamaha huo?
Siyo kwamba "anampoteza" tu, bali anamtumia kama kikaratasi cha chooni kumsafishia uchafu wake.Huyo mama anakupoteza
CCM makatili hawana msamaha hadi wanatujazia chawa watunyonye. Ni unafiki wa kunuka"Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
View attachment 3311142
Sijuwi tumerogwa na nani? Tunayoyaongea hatuyaishi."Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
View attachment 3311142
Ulaghai na unafiki ndani ya CCM ndiyo imekuwa kawaida siku hizi.Msamaha gani gani, asizuge huyo jamaa. Huyo Nchimbi ni muumini wa RC, anazuga baada ya kuona kanisa analosali kureact negatively na mwenendo wa chama na serekali yao kwenye mambo ya haki. Anacheza na maneno ili kujionyesha ni mnyenyekevu huku kwenye vikao vya wachawi ndio mpanga hujuma mkubwa.
Ananikumbusha ushauri wa Bwana Chonjo kwa Rais Moi kuhusu watu wanavyoisema serikali yake vizuri kumbe ni kinyume kabisa.Msamaha gani gani, asizuge huyo jamaa. Huyo Nchimbi ni muumini wa RC, anazuga baada ya kuona kanisa analosali kureact negatively na mwenendo wa chama na serekali yao kwenye mambo ya haki. Anacheza na maneno ili kujionyesha ni mnyenyekevu huku kwenye vikao vya wachawi ndio mpanga hujuma mkubwa.
No reforms no election"Moyo wa Msamaha Ndio Utakaolijenga Taifa Letu" ~ Mhe. Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi.
View attachment 3311142
Hili swali rahisi kabisa ndilo limewavua nguo mbele za wananchi. Limesaidia sana kuwaelimisha wananchi na kurahisisha kujuwa uhalisia wa CCM.Nchimbi kwanini hamtaki kuondoa wizi/wezi/matapeli kwenye tume? Je,hamuwezi kushinda kwa haki?
DPP akisema hanania ya kuendelea na kesi baada ya kukosa ushahidi wa uhaini ndiyo itakuwa moyo wa msamaha kwaajili ya pasaka hapo tunatumia akili mnembaKwa njama anazofanya za kuagiza viongozi wa Chadema wakamatwe kwao Songea ndio msamaha huo?