Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Balozi Ombeni Sefue alivyotimuliwa Ikulu kibabe usiku wa manane

Baada ya JPM kuingia madarakani kama tunavyokumbuka alichelewa kuunda serikali yake,

Kwa majuma kadhaa wlifanya kazi yeye na PM Kassim Majaliwa na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue.

Kombinesheninilikuwa tamu mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri.

Sasa bas huyu Katibu Ombeni Sefue alikuwa amemrithi toka kwa Jk,na nadhani alijisahau akaendelea kuwa mwaminifu kwa JK na jPM kwa wakati mmoja.

Jpm kitu cha kwanza ilikuwa kuhack simu za watu wake,alifunga hadi vinasa sauti kwenye magari yao bila kujijua

Kuna siku KMK akapigiwa simu na mstaafu kuhusu jamaa anavyoendesha nchi,KMK akaanza kumwaga siri.
Ikumbukwe Rais mpya alikuwa akilala saa nane au tisa anasikiliza simu za watu aliowatarget.

La haula akayanasa mazungumzo ya Katibu na mstaafu usiku mnene.

Palepale akampigia simu katibu kuwa YOU ARE FIRED,usiku huohuo akateua katibu mpya
Hii ilikuwa safi sana. Tuliosoma management hadi ngazi ya uzamili (bado kidogo kuwa dokta), huwezi kufanya kazi na bosi huyu wakati huo huo eti ni mtiifu kwa bosi aliyepita. You'll automatically be fired!!!!
 
Back
Top Bottom