mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Umepotea mkuuTujikumbushe kidogo vile tulikuwa tunapigwa kamba enzi zile👇😁😁😁
View attachment 2381522
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umepotea mkuuTujikumbushe kidogo vile tulikuwa tunapigwa kamba enzi zile👇😁😁😁
View attachment 2381522
Kurekodi watu hivyo sio poa. Ni kuendesha nchi kijasusi.Baada ya JPM kuingia madarakani kama tunavyokumbuka alichelewa kuunda serikali yake,
Kwa majuma kadhaa wlifanya kazi yeye na PM Kassim Majaliwa na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue.
Kombinesheninilikuwa tamu mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri.
Sasa bas huyu Katibu Ombeni Sefue alikuwa amemrithi toka kwa Jk,na nadhani alijisahau akaendelea kuwa mwaminifu kwa JK na jPM kwa wakati mmoja.
Jpm kitu cha kwanza ilikuwa kuhack simu za watu wake,alifunga hadi vinasa sauti kwenye magari yao bila kujijua
Kuna siku KMK akapigiwa simu na mstaafu kuhusu jamaa anavyoendesha nchi,KMK akaanza kumwaga siri.
Ikumbukwe Rais mpya alikuwa akilala saa nane au tisa anasikiliza simu za watu aliowatarget.
La haula akayanasa mazungumzo ya Katibu na mstaafu usiku mnene.
Palepale akampigia simu katibu kuwa YOU ARE FIRED,usiku huohuo akateua katibu mpya
Na mtumbuajo naye ametumbuliwa mazima.Baada ya JPM kuingia madarakani kama tunavyokumbuka alichelewa kuunda serikali yake,
Kwa majuma kadhaa wlifanya kazi yeye na PM Kassim Majaliwa na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue.
Kombinesheninilikuwa tamu mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri.
Sasa bas huyu Katibu Ombeni Sefue alikuwa amemrithi toka kwa Jk,na nadhani alijisahau akaendelea kuwa mwaminifu kwa JK na jPM kwa wakati mmoja.
Jpm kitu cha kwanza ilikuwa kuhack simu za watu wake,alifunga hadi vinasa sauti kwenye magari yao bila kujijua
Kuna siku KMK akapigiwa simu na mstaafu kuhusu jamaa anavyoendesha nchi,KMK akaanza kumwaga siri.
Ikumbukwe Rais mpya alikuwa akilala saa nane au tisa anasikiliza simu za watu aliowatarget.
La haula akayanasa mazungumzo ya Katibu na mstaafu usiku mnene.
Palepale akampigia simu katibu kuwa YOU ARE FIRED,usiku huohuo akateua katibu mpya
Cheusimangala tangu msiba JPM simuoni hapa jamvini au alikua nini?Humu JF mtu anakuletea maongezi Hadi ya watu walopigiana simu mfano A kasema hivi na B kajibu vile.
Unabaki unajiuliza msimuliaji alisimama wapi kusikiliza yote
Wako vizuri humu
Kwa yapi tusiyo yajua ndg+Ombeni seif fisadi lile
We jamaa wewe😉Baada ya JPM kuingia madarakani kama tunavyokumbuka alichelewa kuunda serikali yake,
Kwa majuma kadhaa wlifanya kazi yeye na PM Kassim Majaliwa na Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue.
Kombinesheninilikuwa tamu mpaka watu wakaona hakuna haja ya kuwa na baraza la mawaziri.
Sasa bas huyu Katibu Ombeni Sefue alikuwa amemrithi toka kwa Jk,na nadhani alijisahau akaendelea kuwa mwaminifu kwa JK na jPM kwa wakati mmoja.
Jpm kitu cha kwanza ilikuwa kuhack simu za watu wake,alifunga hadi vinasa sauti kwenye magari yao bila kujijua
Kuna siku KMK akapigiwa simu na mstaafu kuhusu jamaa anavyoendesha nchi,KMK akaanza kumwaga siri.
Ikumbukwe Rais mpya alikuwa akilala saa nane au tisa anasikiliza simu za watu aliowatarget.
La haula akayanasa mazungumzo ya Katibu na mstaafu usiku mnene.
Palepale akampigia simu katibu kuwa YOU ARE FIRED,usiku huohuo akateua katibu mpya
Kubali kwamba uliandika pumba (mavi).Nimezungumzia mtu(character) sijazungumzia nafasi wala eneo, alafu sipendi watu wenye mihemko(wafuasi) napenda watu neutral ndo naduscuss nao na tuelemishane.
Mfuganyoka akafa atimayeNyoka hafugiki. Anaweza kumuuma mfugaji wakati wowote. Jiwe alifanya vizuri kujihami na nyoka mapema.
Who was behind kibiti??Kitu ambacho unatakiwa kuelewa usalama boss wao ni rais na wanareport kwa rais.Kama kuna kitu kinaatarisha usalama wa rais na wakafanikiwa kukielewa lazima watoe taarifa kwa rais bila kujalisha anayefanya huo ujinga ni nani.Baada ya rais kupata habari kazi yake ni kujadili namna ya kudeal ni hiyo isseu kwa nguvu au kiplomasia kwa kuzingatia matokeo yake.Issue ya hao watu Jpm alideal nayo kiplomasi bila nguvu ili kupunguza tafulani kulingana na uzito wa wahusika ndo maana unaona hadi leo wanaweza kutamba.Mfano mwingine ni issue ya kibiti unafikiri jpm hakufahamu wahusika wakuu???Jibu ni kwamba aliwafahamu ili kupunguza tafulani ilibidi alimalize kimya kimya.Kutokana na hali hiyo wahusika kwasasa lazima wafurukute kujaribu kutafuta kurecover sychological kwa sababu wengine hawamini kama wanaishi peaceful pamoja na walioyafanya kwasababu hawakustahili hata kusimama mbele ya jamii.
Kwa hiyo unapingana na msemo wa uwaabudio wa "....a deal is too good to believe..."....tunapigwa kamba...
Babaako ataishi milele?Mfuganyoka akafa atimaye