Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
JK is just a variable in my concept.Ukimtoa nyerere kwamfano ni na rais gani ambaye alikua na wonders upstairs.??mbona ni wa kawaida tuu wote hao akina mkapa akina mwinyi !!sasa chakumuonea magufuli nikipi kuhusu ishu ya darasa?Hapa hatumuongelei JK, be concise.
By the way Darasa ni formalities tu but we consider alot when it comes to inteligence.
NB
Mimi sio wala sijawah kuwa shabiki wa Magufuli.