GE2025 Balozi Polepole aapa kutorudi nyuma hadi mchakato wa Wagombea Urais CCM kuanza Upya. Amuonya anayezima Mtandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .

Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.

Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.

Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi

Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima

Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.

Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.

1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .

2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .

Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.

Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
 
1753970967104.jpeg

Ndugu wananchi,
Mungu akipenda Tarehe 31 Julai 2025 siku ya Alhamisi saa 2:00 Usiku nitazungumza na umma na nitashirikisha wanahabari ambao baada ya maelezo yangu awamu ya pili watakuwa na nafasi ya kunihoji maswali mbali mbali kwa kadiri watakavyoona wao inafaa.

Mazungumzo haya yatakuwa mubashara (LIVE)Wanahabari watakaoshiriki ni;-Deodatus Balile, Mtozi Aloyce Nyanda, Kalvin Raphael (Zungu) .

Awamu hii pili bado nitakuwa natoa rai kwa CCM kujirudi na kufanya marekebisho ambayo yatafanya Chama kiende kwenye uchaguzi na Mgombea Mpya na kikiwa kimeijenga imara na madhubuti oganaizesheni ya Chama.

Mwaka 2025 ni Mwaka wa kuifanya CCM Mpya. Kwa kiasi nitatoa sababu za msingi za kufanya mabadiliko ya uongozi Mwaka huu na nitaweka ushahidi.

Mungu akawabariki na kuwalinda watu wote wenye dhamira njema na mustakabali wa sasa na kesho wa Nchi na Taifa letu la Tanzania 🇹🇿 namwomba Mungu pia akawape moyo wa nyama wakuu wetu ili waweke mbele maslahi ya Nchi na Taifa letu na sio Maslahi binafsi.
Wenu,
Ndugu Humphrey H. Polepol
 
Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .

Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.

Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.

Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi

Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima

Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.

Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.

1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .

2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .

Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.

Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?
 
Acheni kutudanganya watanzania!

Nchi haiwezi simama kwa press za kina pole pole!

Labda kama ingekua kamandi ya kijeshi ikiitisha press hiyo na sio wanasiasa!!

Ifike mahali mwache kuleta tension zisizo na maana kwa watanzania!

Tumekubaliana kama taifa,tuwe taifa la rushwa,siasa ilipe sana kuliko taaluma,familia kubwa kubwa ndio zishike siasa zetu,tuzalishe chawa !pia wanajeshi walinde mipaka huku ndani ya nchi wizi nanufisadi uwepo wa kutosha!

Hayo ni maamuzi ya wenye mamlaka Hali iwe hivyo na huo ndio uwe utambulisho was taifa letu Hadi kimataiga kwamba ni taifa la wapiga deal na mafisadi!!
 
Naam! Hakika.
 
Hizi propaganda tu zinazofanywa na CCM kuteka tention za watu kipindi hiki cha uchaguzi, hawa watakuwa ktk fungu lao na wameandaliwa kabisa kuisema vibaya CCM alafu baada ya uchaguzi utawaona wanakuja na hoja ya maridhiano. ni kama lowasa kipindi cha Magu.
 
Acheni kutudanganya watanzania!

Nchi haiwezi simama kwa press za kina pole pole!

Labda kama ingekua kamandi ya kijeshi ikiitisha press hiyo na sio wanasiasa!!

Ifike mahali mwache kuleta tension zisizo na maana kwa watanzania!

Tumekubaliana kama taifa,tuwe taifa la rushwa,siasa ilipe sana kuliko taaluma,familia kubwa kubwa ndio zishike siasa zetu,tuzalishe chawa !pia wanajeshi walinde mipaka huku ndani ya nchi wizi nanufisadi uwepo wa kutosha!

Hayo ni maamuzi ya wenye mamlaka Hali iwe hivyo na huo ndio uwe utambulisho was taifa letu Hadi kimataiga kwamba ni taifa la wapiga deal na mafisadi!!
dah
 
Mungu amfunike , amesamehewa dhambi zake zote za nyuma
Zambi za unafiki we unajua ukubwa wake na unajua adhabu ya mtu mnafiki aliyoandaliwa na mwenyezi Mungu wewe?, au umeshiba kipolo cha makande?
 
Polepole atapewa Nafasi nyeti,

Nyeti sana kuliko Nafasi nyeti tuzijuazo 2025.
 
Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .

Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.

Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.

Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi

Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima

Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.

Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.

1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .

2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .

Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.

Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Mkuu,

Jadili hoja usijadili mtu. Ukijadili mtu akitafutiwa mapungufu yakapatikana utakuwa umekosa uhalali wa kuendelea kumtetea.

Na hao ukiowataja wana mapungufu mengi tu.

Katika kitabu cha riwaya kilichoshinda nishani ya Pulitzer ya mwaka 1946 "All The Kings Men" cha Robert Penn Warren, Willie Stark, mwanasiasa anayetaka u gavana kwa kila hila, anamuambia Jack Burden, muandishi wa habari, atafute habari chafu kuhusiana na mpinzani wa kisiasa wa Willie Stark.

Jack Burden anaposema lakini mbona huyu mpinzani ni msafi sana, hana habari mbaya yoyote? Willie Stark alimjibu hivi.

"Man is conceived in sin and born in corruption and he passeth from the stink of the didie to the stench of the shroud. There is always something".

Polepole ana point nyingi za muhimu, na pia ana mapungufu mengi sana.

Mapungufu yake hayaondoi umuhimu wa points zake muhimu, na points zake muhimu haziondoi mapungufu yake.

Tu focus kwenye hoja, si kwa mtu.
 
Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .

Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.

Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.

Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi

Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima

Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.

Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.

1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .

2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .

Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.

Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Mkuu salamu, tafakari nukuu hii!

“A hypocrite is the kind of politician who would cut down a redwood tree, then mount the stump and make a speech for conservation.” – Adlai Stevenson

Jioni njema.
BMHU
 
Acheni kutudanganya watanzania!

Nchi haiwezi simama kwa press za kina pole pole!

Labda kama ingekua kamandi ya kijeshi ikiitisha press hiyo na sio wanasiasa!!

Ifike mahali mwache kuleta tension zisizo na maana kwa watanzania!

Tumekubaliana kama taifa,tuwe taifa la rushwa,siasa ilipe sana kuliko taaluma,familia kubwa kubwa ndio zishike siasa zetu,tuzalishe chawa !pia wanajeshi walinde mipaka huku ndani ya nchi wizi nanufisadi uwepo wa kutosha!

Hayo ni maamuzi ya wenye mamlaka Hali iwe hivyo na huo ndio uwe utambulisho was taifa letu Hadi kimataiga kwamba ni taifa la wapiga deal na mafisadi!!
Mkuu watu wengi hawawezi kukuelewa.

Na mimi hua na msemo mmoja

"Watanzania wengi tunataka mabadiliko bila sisi kuhusika"
 
Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?
Kama Kwa kutulia , Usiwe kama mtoto Mdogo
 
Back
Top Bottom