GE2025 Balozi Polepole aapa kutorudi nyuma hadi mchakato wa Wagombea Urais CCM kuanza Upya. Amuonya anayezima Mtandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?
Hapa hakemei uovu anaongelea Mchakato wa Mgombea
 
Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .

Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.

Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.

Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi

Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima

Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.

Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.

1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .

2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .

Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.

Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Polepole awe rais wa nchi? Acheni bangi basi
 
Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wa
Samia ni ovyo kuliko Magufuli. WAKATI HUU MAMA ANABAKA WATU, ANALAWITI, ANATEKA NA KUUA. Wakati wa Magufuli huyu mama naye alikuwa tatizo. Shida ya Samia ni kubwa zaidi ya Magufuli.
 
Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?
Mimi nilikuwa Mpagani leo mimi ni Mwalimu wa Madrasa, kosa langu ni nini? Kila jambo na kila mtu huenda na wakati wake na kujirudi, hili la kujirudi ni la kila mtenda maovu.
 
Polepole hajajirudi. Unatumia vibaya neno kujirudi
 
Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .

Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.

Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.

Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi

Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima

Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.

Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.

1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .

2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .

Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.

Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Bandiko limekosa nguvu baada ya kumuweka Gwajima
 
KUZIMA MTANDAO MZIMA KWA HOFU YA MTU MMOJA TU,
#TUTAFAKARI HILI?
#CHAMA NDICHO KUMTEUZA MH.SAMIA KWA NGUVU MOJA!,WHO CAN BEND THAT STRONGLY DECISION?/
#POLEPOLE HAWEZI WALA HANA MADHARA YOYOTE!
 
Acheni kutudanganya watanzania!

Nchi haiwezi simama kwa press za kina pole pole!

Labda kama ingekua kamandi ya kijeshi ikiitisha press hiyo na sio wanasiasa!!

Ifike mahali mwache kuleta tension zisizo na maana kwa watanzania!

Tumekubaliana kama taifa,tuwe taifa la rushwa,siasa ilipe sana kuliko taaluma,familia kubwa kubwa ndio zishike siasa zetu,tuzalishe chawa !pia wanajeshi walinde mipaka huku ndani ya nchi wizi nanufisadi uwepo wa kutosha!

Hayo ni maamuzi ya wenye mamlaka Hali iwe hivyo na huo ndio uwe utambulisho was taifa letu Hadi kimataiga kwamba ni taifa la wapiga deal na mafisadi!!
🤣🤣🤣🤭🤭🤫
 
Polepole hajajirudi. Unatumia vibaya neno kujirudi
Ungekuwa unamjua vizuri Polepole usingenikosoa, Polepole nimjuae alijijengea umaarufu kwa kila anachokifanya sasa na ndicho kilimsukum Magufuli amdhibiti kama alivyofanya kwa bosi wa TBC na wengineo.
 
Back
Top Bottom