Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .
Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.
Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.
Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi
Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima
Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.
Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.
1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .
2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .
Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.
Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Acheni kutudanganya watanzania!Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .
Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.
Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.
Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi
Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima
Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.
Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.
1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .
2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .
Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.
Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
sidhani, labda wale waamue, hapo kweli itasimama. Dictators do not care about words!Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Naam! Hakika.Acheni kutudanganya watanzania!
Nchi haiwezi simama kwa press za kina pole pole!
Labda kama ingekua kamandi ya kijeshi ikiitisha press hiyo na sio wanasiasa!!
Ifike mahali mwache kuleta tension zisizo na maana kwa watanzania!
Tumekubaliana kama taifa,tuwe taifa la rushwa,siasa ilipe sana kuliko taaluma,familia kubwa kubwa ndio zishike siasa zetu,tuzalishe chawa !pia wanajeshi walinde mipaka huku ndani ya nchi wizi nanufisadi uwepo wa kutosha!
Hayo ni maamuzi ya wenye mamlaka Hali iwe hivyo na huo ndio uwe utambulisho was taifa letu Hadi kimataiga kwamba ni taifa la wapiga deal na mafisadi!!
dahAcheni kutudanganya watanzania!

Zambi za unafiki we unajua ukubwa wake na unajua adhabu ya mtu mnafiki aliyoandaliwa na mwenyezi Mungu wewe?, au umeshiba kipolo cha makande?Mungu amfunike , amesamehewa dhambi zake zote za nyuma
Mkuu,Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .
Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.
Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.
Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi
Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima
Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.
Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.
1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .
2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .
Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.
Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Mkuu salamu, tafakari nukuu hii!Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .
Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.
Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.
Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi
Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima
Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.
Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.
1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .
2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .
Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.
Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Mkuu watu wengi hawawezi kukuelewa.Acheni kutudanganya watanzania!
Nchi haiwezi simama kwa press za kina pole pole!
Labda kama ingekua kamandi ya kijeshi ikiitisha press hiyo na sio wanasiasa!!
Ifike mahali mwache kuleta tension zisizo na maana kwa watanzania!
Tumekubaliana kama taifa,tuwe taifa la rushwa,siasa ilipe sana kuliko taaluma,familia kubwa kubwa ndio zishike siasa zetu,tuzalishe chawa !pia wanajeshi walinde mipaka huku ndani ya nchi wizi nanufisadi uwepo wa kutosha!
Hayo ni maamuzi ya wenye mamlaka Hali iwe hivyo na huo ndio uwe utambulisho was taifa letu Hadi kimataiga kwamba ni taifa la wapiga deal na mafisadi!!
Kama Kwa kutulia , Usiwe kama mtoto MdogoAcha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?