GE2025 Balozi Polepole aapa kutorudi nyuma hadi mchakato wa Wagombea Urais CCM kuanza Upya. Amuonya anayezima Mtandao

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Je Polepole ni Membe mwingine?
 
Historia inamhukumu huyu Polepole, akiwa coordinator pale (YMCA?) aliiba hela sh laki sita. Sasa atubu kwanza na athibitishe kwamba hataiba tena hela akipewa kitengo.
 
Historia inamhukumu huyu Polepole, akiwa coordinator pale (YMCA?) aliiba hela sh laki sita. Sasa atubu kwanza na athibitishe kwamba hataiba tena hela akipewa kitengo.
Alipokuwa Katibu Mwenezi CCM Taifa historia ilifungwa na sasa ndio imefunguka?
 
Sawa ngoja tusubiri hiyo saa mbili usiku awe na nondo na kueleweka sio blah blah tu hapa.
 
Sawa ngoja tusubiri hiyo saa mbili usiku awe na nondo na kueleweka sio blah blah tu hapa.
Usisubiri meli uwanja wa ndege, so far the called Polepole hajafanya maajabu yoyote zaidi ya kucheza na akili za mamaamuma tu
 
Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?
Usiyeendeshwa na siasa hizo, umefuata nini huku we liccm?
 
Namuombea sana Ndugu polepole, naamini katika yeye wapo watu wa vyombo vya usalama. Hakurupuki, ni vile tu jeuri wa hao familia.

Akipata uungwaji mkono na watanzania waliowengi itakua poa sana. TZ sio ya familia flani tu kuongoza, ni ya Watz wote. CCM sio yao, Ccm ni chama cha siasa cha UMMA. Wasijimilikishe nchi na chama, hivyo vyote wamevikuta na wataviacha.
 
Kwa hiyo Uzalendo wa Polepole umekuja baada ya kuona maslahihi yake yamebinywa?
 
Polepole!! Huyuhuyu polepole ambaye bunge lililopita yeye ndiye alikuwa msatari wa mbele kuhakikisha wapinzani hawaingii bungeni!!

Ni walewale tu kama ilivyo kwa wilbroad na haruna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…