Ustaadhi 22
JF-Expert Member
- Sep 5, 2021
- 1,180
- 2,147
Hapa hakemei uovu anaongelea Mchakato wa MgombeaAcha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?
Polepole awe rais wa nchi? Acheni bangi basiMimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .
Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.
Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.
Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi
Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima
Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.
Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.
1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .
2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .
Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.
Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Samia ni ovyo kuliko Magufuli. WAKATI HUU MAMA ANABAKA WATU, ANALAWITI, ANATEKA NA KUUA. Wakati wa Magufuli huyu mama naye alikuwa tatizo. Shida ya Samia ni kubwa zaidi ya Magufuli.Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wa
Mimi nilikuwa Mpagani leo mimi ni Mwalimu wa Madrasa, kosa langu ni nini? Kila jambo na kila mtu huenda na wakati wake na kujirudi, hili la kujirudi ni la kila mtenda maovu.Acha kuendeshwa na siasa za matukio. Huyu huyu Polepole alikuwepo kwenye serikali ya Magufuli na hakuwahi kuonekana akikemea uovu wowote wa wakati huo. Hii leo uzalendo feki ameutoa wapi ?
Polepole hajajirudi. Unatumia vibaya neno kujirudiMimi nilikuwa Mpagani leo mimi ni Mwalimu wa Madrasa, kosa langu ni nini? Kila jambo na kila mtu huenda na wakati wake na kujirudi, hili la kujirudi ni la kila mtenda maovu.
Ndivyo mnavyodanganyana ?Samia ni ovyo kuliko Magufuli. WAKATI HUU MAMA ANABAKA WATU, ANALAWITI, ANATEKA NA KUUA. Wakati wa Magufuli huyu mama naye alikuwa tatizo. Shida ya Samia ni kubwa zaidi ya Magufuli.
Wewe jipe moyo tu kwa sababu ni chawa usiyeweza kufikiri au kuona yanayotokea.Ndivyo mnavyodanganyana ?
Na siku ukibakwa na kulawitiwa utajua tunadanganyana.Wewe jipe moyo tu kwa sababu ni chawa usiyeweza kufikiri au kuona yanayotokea.
Siku ukibakwa na kulawitiwa ndiyo utajua tunadanganyana wewe chawa.Ndivyo mnavyodanganyana ?
Bandiko limekosa nguvu baada ya kumuweka GwajimaMimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .
Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.
Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.
Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi
Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima
Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.
Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.
1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .
2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .
Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.
Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
Wewe umeshafanyiwa hayo ?Siku ukibakwa na kulawitiwa ndiyo utajua tunadanganyana wewe chawa.
Hilo neno chawa limeshachuja. Njoo na jina lingine. How about kunguni ?Wewe jipe moyo tu kwa sababu ni chawa usiyeweza kufikiri au kuona yanayotokea.
KUZIMA MTANDAO MZIMA KWA HOFU YA MTU MMOJA TU,Mimi binafsi, nikiwa na Akili yangu Huru, Moyo safi, bila upendeleo wowote , Ninamkubali sana Polepole , Polepole ni Moja ya Watanzania wenye Akili nyingi sana .
Uwezo wake kupangilia Hoja.
Uwezo wake wa kuthubutu.
Uwezo wake wa kuchambua mambo.
Uwezo wake wa maono.
Uwezo wake wa Ushawishi.
Uwezo wake Mvuto anapokua anaongea.
Uwezo wake wa Kujiamini .
Uwezo wake wa Utambuzi wa Dunia.
Sina mashaka kabisa, kua Polepole ni Moja ya watu ambao akiwa Rais huwezi kua naye Mashaka yaan ni hivi
Polepole
LISSU
Mpina
Gwajima
Hawa Mmoja wao akiwa Rais, Furaha itakua ni sehem ya kawaida ya Maisha ya mwanadam.
Akikazia muda huu juu ya Hotuba yake Kwa Taifa usiku wa Leo.
1- Kawataka watanzania Leo kujionea USHAHIDI wa kwanini Rais Samia hatakiwi kuendelea .
2-Amuonya Muhusika wa Kuzima Mtandao, akisema, Once Nchi imenyooka , Atawajibishwa Kisheria Kwa kaliingizia Taifa Hasara ya Bilion Tano .
Wakuuu ni Saa mbili kamili usiku.
Mnakumbuka niliwaambia humu, Katu ya Tarehe 1-7 Nchi itasimama?.
🤣🤣🤣🤭🤭🤫Acheni kutudanganya watanzania!
Nchi haiwezi simama kwa press za kina pole pole!
Labda kama ingekua kamandi ya kijeshi ikiitisha press hiyo na sio wanasiasa!!
Ifike mahali mwache kuleta tension zisizo na maana kwa watanzania!
Tumekubaliana kama taifa,tuwe taifa la rushwa,siasa ilipe sana kuliko taaluma,familia kubwa kubwa ndio zishike siasa zetu,tuzalishe chawa !pia wanajeshi walinde mipaka huku ndani ya nchi wizi nanufisadi uwepo wa kutosha!
Hayo ni maamuzi ya wenye mamlaka Hali iwe hivyo na huo ndio uwe utambulisho was taifa letu Hadi kimataiga kwamba ni taifa la wapiga deal na mafisadi!!
Ungekuwa unamjua vizuri Polepole usingenikosoa, Polepole nimjuae alijijengea umaarufu kwa kila anachokifanya sasa na ndicho kilimsukum Magufuli amdhibiti kama alivyofanya kwa bosi wa TBC na wengineo.Polepole hajajirudi. Unatumia vibaya neno kujirudi