Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!

Ni kweli wazuri Hawafi.

Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.

 
Jambo Jambo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila huyu Jamaa anakichwa kigumu, alivyotolewa malawi na kupelekwa Cuba watu wakaanzisha nyuzi mbalimbali kuwa “Jamaa wamemuweza” “Wamemkomoa” “wamemuua kisiasa” na bla blaa kibao.

Jamaa hana muda mrefu toka ateuliwe kuwa balozi wa cuba tayari yuko Tanzania kwenye ziara ya uzinduzi wa kiwanda cha kuua vidudu vya malaria chenye uwekezaji wa zaidi ya Billion 100.

Aliongozana na wajumbe mbali mbali wa ubalozi wa cuba nchini Tanzani na Balozi w ubalozi huo.

(Ila nahisi tu hizi zote ni mbinu za PolePole ku”organise” Hivi viziara ili mradi awaonyeshe wahuni kuwa hawawezi kumuua kisiasa)

Huyu Jamaa mbishi na nawaambia hizi ruti haziiishi tutakuwa tunamuona mara kwa mara kama vile waziri au mbunge kutwa ziara za ndani huku Cuba pakiwa hapakaliki[emoji23]

MABALOZI WENGINE TOKA WATEULIWE TUNA MIAKA HATUJAWAONA WAMETULIA TULI ILA HUYU BALOZI POLEPOLE DAAAH[emoji23][emoji23][emoji23]

IMG_5984.jpg



Cuba mpka Pwani na utashangaa anakaa mwezi [emoji23][emoji23]

Maskini wahuni hawamuwezi Slow Slow.


Nshomile
Kwasasa
Kahama. Tanzania
 
Kwa akili za Watanzania, ukitaka uonekane wa Maana unachotakiwa kufanya ni kufokafoka tu.

Ni vyema kakumbuka kuwa huo mradi ni juhudi za Kikwete.
Uislam umekufubaza, sahizi kichwan umebakisha matope ya kuvukia Barabara .


Na Kwa Akili hizi, Wacha Israel iendelee kuwapiga mashariki ya Kati yote.
 
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!

Ni kweli wazuri Hawafi.

Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.


Huyu jamaa ni kweli mchapakazi na mzalendo ila aina ya siasa zake kali za kijamaa mm huwa sizikubali kabisa..maana nchi yetu kwa sasa haiitaji siasa za aina hiyo.

Ila ni mtu muungwana na mwenye dhati ya kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom