Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

Balozi Polepole hapoi, hachoshi na anaongea kimamlaka. Azionya Wizara ya Afya na TAMISEMI

Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!

Ni kweli wazuri Hawafi.

Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.

Huyu mwamba namkubali sana.
Kama hatadhulumiwa nafsi namuona ktk nafasi kubwa sana miaka ijayo.
Tatizo mabeberu hawawezi ruhusu mjamaa kama huyu ashike nafasi za juu.
 
Huyu jamaa ni kweli mchapakazi na mzalendo ila aina ya siasa zake kali za kijamaa mm huwa sizikubali kabisa..maana nchi yetu kwa sasa haiitaji siasa za aina hiyo.

Ila ni mtu muungwana na mwenye dhati ya kweli kabisa.
Sasa huo uungwana na kuwa mwenye dhati kweli ndiyo ujamaa wenyewe na ndipo wanapojikuta wanampenda wale waliokuwa wanachukia ujamaa huku hawaelewi kiundani ujamaa ni nini.
 
Huyo Polepole awe makini, akiendeleza "usumbufu" wake mwishowe itabaki sehemu moja pekee ya kumpeleka..
 
Najua kuna Msiba, ila Kilio kilivyokua kwetu Kuna sherehe zilifanyika!

Ni kweli wazuri Hawafi.

Mhe. Polepole anawaonya wale wanaokwamisha maendeleo. Ilitafutwa Mbinu za kumnyamazisha lakini ndio kwanza akiwa ndani ya Kaunda Suti Nyeusi, Safii kama Nyerere vile anawaonya walafi.

Sawa polepole tumekusikia, ila kumbuka ulivyokua unawatukana akina Mbowe kwenye media ukajua kwamba utakua na hiyo power milele, sasa sijui what happened nawe umegeuka mpinzani ndani ya chama chako

Lissu aliwaonya akasema mkimalizana na upinzani mtanzana wenyewe na wenyewe, tupo hapa kushuhudia
 
Unlearn to Learn.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ficha upumbavu wako usiifiche hekima yako, ushafanya tafiti kujua kimeanza production lini iko kiwanda? Bibi huna kitu upstairs nowadays.
Jibu hoja achana na mimi.

Unaijuwa kazi aliyopewa Polepole kuifanya Cuba?

Kama huelewi, aliambiwa mlilolikoroga mlinywe, na ndiyo kaanza kulinywa ki aina yake.
 
Back
Top Bottom