Hatutaki kiongozi aliyepooza yaani akiongea huwezi sikiliza dakika 2 usingizi unakushika!Kwa akili za Watanzania, ukitaka uonekane wa Maana unachotakiwa kufanya ni kufokafoka tu.
Ni vyema kakumbuka kuwa huo mradi ni juhudi za Kikwete.
Tunataka viongozi wenye kariba ya Polepole, yaani hata akiongea lisaa lizima, bado unatamani aendelee kuongea!