B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 May 13, 2023 #61 FaizaFoxy said: Kwa akili za Watanzania, ukitaka uonekane wa Maana unachotakiwa kufanya ni kufokafoka tu. Ni vyema kakumbuka kuwa huo mradi ni juhudi za Kikwete. Click to expand... Hatutaki kiongozi aliyepooza yaani akiongea huwezi sikiliza dakika 2 usingizi unakushika! Tunataka viongozi wenye kariba ya Polepole, yaani hata akiongea lisaa lizima, bado unatamani aendelee kuongea!
FaizaFoxy said: Kwa akili za Watanzania, ukitaka uonekane wa Maana unachotakiwa kufanya ni kufokafoka tu. Ni vyema kakumbuka kuwa huo mradi ni juhudi za Kikwete. Click to expand... Hatutaki kiongozi aliyepooza yaani akiongea huwezi sikiliza dakika 2 usingizi unakushika! Tunataka viongozi wenye kariba ya Polepole, yaani hata akiongea lisaa lizima, bado unatamani aendelee kuongea!
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 May 13, 2023 #62 Msaka tonge on air
covid 19 JF-Expert Member Joined May 9, 2014 Posts 6,967 Reaction score 17,452 May 13, 2023 #63 zithromax said: Saa100 watu kama hawa huwa. Hawapendi Click to expand... Hapana sio hawapendi ila hawaendani na sera zake za ushirikiano kimataifa..
zithromax said: Saa100 watu kama hawa huwa. Hawapendi Click to expand... Hapana sio hawapendi ila hawaendani na sera zake za ushirikiano kimataifa..
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 May 13, 2023 #64 RWANDES said: jamaa hakamatiki anafanya kazi hajulikani ni balozi mbunge au waziri Click to expand... Kazi gani?
RWANDES said: jamaa hakamatiki anafanya kazi hajulikani ni balozi mbunge au waziri Click to expand... Kazi gani?
K Kimalingano JF-Expert Member Joined Mar 27, 2023 Posts 709 Reaction score 919 May 14, 2023 #65 Huyu Balozi yuko vizuri sana kiakili na kiutendaji. Namuombea aje awe Rais wa TZ.