Ushora Ndago
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 318
- 360
Acha mauongo yako ! Toa utafiti unaothibisha ! Marekani, uingereza, Africa Africa kusini.... kuna mashoga mamilioni, walicheza wapi taarabu ?Zanzibar wanapenda sana taarab si wanawake au wanaume na ndio maana zanzibar mashoga ni wengi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sadhani sida yake aijui taarabu na inawezekana hajawahi kuisikia hata mara moja
Nikwamba nimesikia vibaya ama ni halisi kile alichokisema Makamo wa pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ally kuwa leo kutakuwa na tamasha maalumu la taarabu kwa wageni wa sherehe za mapinduzi.?
Hivi limekaaje hili wakuu, ni taarabu vidole juu ama ni aina tofauti ya taarabu wakuu.
Kama ni hivi basi tuna Safari ndefu sana watanzani, inamaana hawakuona burudani nyingine zaidi ya taarabu?
Nani katoa hili wazo??
Kumbe ndo mana namuona mkwele kaenda na bi mkubwa!!
Haya kila la kheri kwenye vidole juu.
Sisi tutakuwa ma DJ hapa JF na wapiga picha na majaji wa kutaja yupi amekuwa bingwa wa kulisakata.
Watch....
Hivi ile Televisheni ya Zanzibar ipo siku hizi?Labda mkuu wewe ndio hujui taarab! Zanzibar taarab sio vidole juu kama bara, kule watu huketi na waimbaji huketi pia isipokua yule anae ghani mashairi ! Ni burudani sana hata marehemu Omar Ali Juma akipenda sana enzi hizo...Mambo ya vidole juu na kuchambana sijui kumwaga radhi ni huku bara kwa mashangingi na masakambwanga! Kule wastaarabu wana swing tu miili wakiwa wameketi raha mustarehe wakifuatilia maudhui murua ya mashairi ! Elewa mkuu !
TVZ bado Hua inaonesha taarab isipokua kipindi kifupi si kama zamani, maana kwa sasa mambo ni mengi sana ya kureport kwa TV.Hivi ile Televisheni ya Zanzibar ipo siku hizi?
Nakumbuka miaka ya themanini tulikuwa tunaangalia taarab TVZ.
Ni kitu tofauti kabisa na hii taarab ya mipasho ya siku hizi.
Taarab ya asili Zanzibar ni muziki wa kuheshimika sana. Na ndiyo maana hata sherehe kubwa kama hii watu wanataja taarab.
Huu ni kama muziki wa Zanzibar.
Nakumbuka mahojiano fulani alifanyiwa Dr. Salim Ahmed Salim, katika kumuonesha kuwa ni mtu anayependa asili yake, wakasema, licha ya kuzunguka dunia nzima, lakini muziki alioupenda zaidi ulikuwa taarab.
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarab ndio utamaduni wao visiwani, kabla mimi na wewe hatujazaliwa.Hakuna burudani nyingine zaidi ya taarabu tena kwenye tukio kubwa la kitaifa Kama hili.
Acha dharau mkuu mtima nyongo, hiyo miziki ni asili yao. Kumbuka kuwa waarabu wameacha watoto na wajukuu visiwani humo.Zanzibar wanapenda sana taarab si wanawake au wanaume na ndio maana zanzibar mashoga ni wengi mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani ni vema ulivotoa huo ufafanuzi hapo.Labda mkuu wewe ndio hujui taarab! Zanzibar taarab sio vidole juu kama bara, kule watu huketi na waimbaji huketi pia isipokua yule anae ghani mashairi ! Ni burudani sana hata marehemu Omar Ali Juma akipenda sana enzi hizo...Mambo ya vidole juu na kuchambana sijui kumwaga radhi ni huku bara kwa mashangingi na masakambwanga! Kule wastaarabu wana swing tu miili wakiwa wameketi raha mustarehe wakifuatilia maudhui murua ya mashairi ! Elewa mkuu !
Kwani kuna sehemu nilitaja ccm na cuf hapo mkuu.Mleta mada umekurupuka nadhani umevimbiwa kiporo.
Tukiacha mambo ya ccm na cuf/chadema, taarabu ina shida gani? Ni mziki tena ambao ni kama unaitambulisha Zanzibar sasa tatizo liko wapi wageni wakipatiwa burudani na watu wa Zanzibar? Au ulitaka mchana kutwa na usiku kucha wajadili mapinduzi tu??????
Kwani hiyo modern taarab ilianzia wapi mkuu hadi useme huko Zanzibar haipo.?Hiyo vidole juu ni morden taarabu na iko bara kule Zanzibar kuna taarabu asilia na ndio muziki wao
Ni kama ushangae rais wa Congo kusema kuna muziki wa rhumba kwa wageni
Ahaa ! Kumchamba mtu ni pale wanawake hasa wa pwani kuenda kumsema mwenzao ambaye ni muongo au mfitini ili akome! Tendo hili hufanywa mbele ya halaiki au kadamnasi ya watu. Wakati mwingine wachambaji hupendelea kuvaa nguo aina ya dira sare sare na kibwebwe kiunoni ili kukoleza mambo ! Mchambwaji Hua hapewi hata nafasi ya kujitetea na anaweza kusingwa vile vile. Inasemekana kabila la wazaramo ndio wataalam wa kuchamba maana huweza kumchamba mwenzao mpaka akazimia bila hata kuguswa! 😁 Nadhani nimefafanua vya kutosha.😎Nadhani ni vema ulivotoa huo ufafanuzi hapo.
Kuchambana ndio nini mkuu.?
Atakuwa ni mjinga Fulani toka Ufipa. Wao kila kitu sio sawa.Kwani hoja yako hapo ni nn?.
Hutaki au roho inakuuma au huna la kusema.
UKAWA Bana mna shida sana
2020
Kwa hiyo?Zote mbili ni taarabu tu na zote asili yake ni huko.