JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Ni faraja kuona mabalozi wanajali kazi mnayoifanya.View attachment 3037696View attachment 3037697View attachment 3037695View attachment 3037694View attachment 3037693View attachment 3037692View attachment 3037691View attachment 3037690View attachment 3037689
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing-Spandet ameitembelea JamiiForums (JF) na kufanya mazungumzo na Uongozi na Watendaji wake ikiwa ni pamoja na kujionea maendeleo ya Taasisi akiwa kama Mshirika muhimu wa JF.
Pia, Balozi amefika JF kwa lengo la kuaga rasmi ikiwa ni baada ya kumaliza utumishi wake nchini. Balozi Mette na Serikali ya Denmark wamekuwa wadau muhimu kwa JF katika shughuli mbalimbali.
JF inamtakia kila la heri Balozi Mette katika majukumu yake mengine atakayokwenda kuendelea nayo baada ya kuondoka Tanzania.
Maamuzi yalikuwa revisited, wanabaki Tanzania. Unaweza kusoma hapa - Denmark reverses decision to close embassy in TanzaniaNi faraja kuona mabalozi wanajali kazi mnayoifanya.
Hivi Ubalozi wa Denmark Tanzania bado upo katika mchakato wa kufungwa? Kuna wakati walisema wanataka kufunga ubalozi.
Mkuu, hadi umepiga hesabu kabisa? Hahaha!Mpeni Max hongera zake, ameweza kubalance gender kidogo, nimeona hapo Ke 12 na Me 16
Wale Vijana ambao hawajaoa wanaweza kupata Soul mate wao humo humo wakaendelea na maisha 🤗
Article Don naona kazi inaenda mbele vizuri sana. Hongera.Maamuzi yalikuwa revisited, wanabaki Tanzania. Unaweza kusoma hapa - Denmark reverses decision to close embassy in Tanzania
Hahaha, mkuu!Mi macho yangu yamelenga kwa hao wachuchu tu!
Nimewatambua wawili niliowabamba siku moja wakinilia chabo nilipokuwa naperuzi kurasa za JF halafu wakajikausha kama vile hawakuwa wananilia chabo 🤣🤣.
Si ajabu wameshawahi kunipiga ban hao.
Hahaha..........nimehesabu Kwa vidole hadi nimepata idadi kamili 🤗Mkuu, hadi umepiga hesabu kabisa? Hahaha!
Hard to imagine JF imekaribia kufikisha miaka 20!Hahaha, mkuu!
Sio wote wanahusika na platform management.
Kuna programu 8, ya platform hii ni mojawapo. Wengine wapo kwenye programu nyingine mbalimbali
Umenishtua. Miaka 20!! Miaka yaenda mbio. Sikuwahi kufikiri kuhesabu miaka ya JfHard to imagine JF imekaribia kufikisha miaka 20!
Kweli muda unakimbia maana kwa baadhi yetu 2006 ni kama majuzi tu.
Sidhani kama kuna online forums zingine za Kitanzania ambazo zilikuwepo enzi hizo na mpaka hivi sasa bado zipo na zinashamiri.
JF has stood the test of time.
Hamna kuoa!!! Mademu tutawachezea na kuwa achaMpeni Max hongera zake, ameweza kubalance gender kidogo, nimeona hapo Ke 12 na Me 16
Wale Vijana ambao hawajaoa wanaweza kupata Soul mate wao humo humo wakaendelea na maisha 🤗
Kiongozi hongereni sana sana.Maamuzi yalikuwa revisited, wanabaki Tanzania. Unaweza kusoma hapa - Denmark reverses decision to close embassy in Tanzania