Balozi wa Denmark nchini Tanzania anayemaliza muda wake, Mette Nørgaard Dissing-Spandet aitembelea JamiiForums

Balozi wa Denmark nchini Tanzania anayemaliza muda wake, Mette Nørgaard Dissing-Spandet aitembelea JamiiForums

Binafsi niwaombe international community yeyote, nchi yeyote duniani kama kuna kitu kinatatiza na hawajui solution au tu wanataka kusikia grassroot watanzania wanasemaje wapost jamii forums kwa kiswahili au kingereza

Watapata feedback nzuri tu iwe mambo ya nchini kwao au ya kimataifa

Waposti ila wakiposti kiswahili itakuwa vizuri zaidi

Wa join Jamii forums kwa majina bandia ila wa Post issue serious zinazohitaji ufumbuzi serious au advice serious watapata bila shida

Ila kama wanajua kiswqhili sawa inakuwa vizuri zaidi watumie hata interpreter's ili wapate feedback nzuri mno

International community wafanya research au kuwa kuna issue serious unahitajika ushauri uwe wa ndani ya nchi au nje au kimataifa tumieni Jamii forums kupata feedback

Dunia nzima kwa sasa Jamii forums ndio the best feedback and advisor forum
 
Mkuu Maxence Melo & co yaani Mlizaliwa Tanzania kwa makusudi kabisa in short mnastahili sana na hamna deni just imagine isingekua JamiiForums sijui ingekuaje aisee yaani nadhani now ningekua bwege kama Lumumba buku 7 (LB 7)
a.k.a Ngumbaru old Skullz
😁😁
Yaani wengi wetu ikipita siku bila kulog in JF tunaona hatujakamilika kiufupi hua najiona kuna kitu napoteza aisee
Blessed sana Broo!
Sina Neno!
 
Jf ni chuo kikuu.
Zaidi ya chuo kikuu kikuu chochote cha best university in the world sababu ushauri mzito Jamii Forums hutoka grassroot kwenye majority sio kwenye faculty za best universities in the world ambao ni the few kwenye population nchi yeyote duniani ndio huwemo hivyo vyuo.

Jamii Forums iko juu kidunia kwa kubeba grassroot kutoa maoni ya nchi yeyote duniani yenya challenge au kimataifa freely na seriously
 
Back
Top Bottom