Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Huwa najaribu kuangalia forums nyingine huko Duniani ila nakiri JamiiForums ni home of great thinker na ni best of the best mimi nawaambia bongo tuna akili za mbele sana sema tunashindwa zitumia tu.Zaidi ya chuo kikuu best universities in the world sababu ushauri mzito hutoka grassroot kwenye majority sio kwenye faculty za best universities ambao ninthe few kwenye population nchi yeyote duniani
Jamii Forums iko juu kidudia kwa kubeba grassroot kutoa maoni ya nchi yeyote duniani yenya challenge au kimataifa freely na seriously
Yaani endapo tukiwa serious tutafika mbali hili jukwaa ni zaidi ya World Enclopedia yaani kila kitu kishajadiliwa na kina maoni kwa angles tofautitofauti na kuna mengine chanzo ni humu tu hutakuta pahali pengine Duniani,
Artificial intelligence ikifika kwenye peak watu wakitaka info kuhusu mambo mbali mbali lazima itakuja kua Moja ya source mhimu!