Balozi wa Denmark nchini Tanzania anayemaliza muda wake, Mette Nørgaard Dissing-Spandet aitembelea JamiiForums

Balozi wa Denmark nchini Tanzania anayemaliza muda wake, Mette Nørgaard Dissing-Spandet aitembelea JamiiForums

Of course, kati ya mitandao smart, JF ni mojawapo. na bila kupepesa macho, mtandao huu umechangia pakubwa sana kufikisha ujume kwa jamii na kwa serikali na mambo mengi huwa yanarekebishwa hata serikalini kwasababu ma-TISS kibao wamejaa humu hadi viongozi wa kubwa karibia wote wapo humu wanachungulia nini tunawashauri warekebishe.

Hongereni sana.
Hakika
 
Back
Top Bottom