Binafsi niwaombe international community yeyote, nchi yeyote duniani kama kuna kitu kinatatiza na hawajui solution au tu wanataka kusikia grassroot watanzania wanasemaje wapost jamii forums kwa kiswahili au kingereza
Watapata feedback nzuri tu iwe mambo ya nchini kwao au ya kimataifa
Waposti ila wakiposti kiswahili itakuwa vizuri zaidi
Wa join Jamii forums kwa majina bandia ila wa Post issue serious zinazohitaji ufumbuzi serious au advice serious watapata bila shida
Ila kama wanajua kiswqhili sawa inakuwa vizuri zaidi watumie hata interpreter's ili wapate feedback nzuri mno
International community wafanya research au kuwa kuna issue serious unahitajika ushauri uwe wa ndani ya nchi au nje au kimataifa tumieni Jamii forums kupata feedback
Dunia nzima kwa sasa Jamii forums ndio the best feedback and advisor forum