Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuanzia leo siweki simu yangu mfuko wa suruali au shati, nitatafuta mkebe wa chuma wenye mkanda wa ngozi!!😂😂😂 ha ha ha ha
Ni washirika wao dhidi ya Israeli. Hivi wanakumbuka siku chache nyuma ndege za Israeli zilirandaranda kwenye anga la Lebanon?Walidhani wamepelekewa mikate?halafu unajua bora wakuue tu kuliko kukufumua korodani. israel wabaya sana aisee. sasa na yeye balozi pagers za hezbollah kwanini alikuwa anazitumia sasa? atamlaumu nani.
Mkuu uko Lebanon?Kuanzia leo siweki simu yangu mfuko wa suruali au shati, nitatafuta mkebe wa chuma wenye mkanda wa ngozi!!😂😂😂
Anachukua tahadhari ya kutopoteza kiungo pendwa.Mkuu uko Lebanon
Sawa wewe Revert wa shetan allahHizi habari imethibitika ni za uwongo kutoka kwa maadui wa HAMAS NA HEZBOLLAH
Iran anazidi kuumbuka kuonekana ktk taifa la watu unashirikiana na magaidi aibu sanaWadau hamjamboni nyote?
Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na jicho lake
Taarifa kamili hapo chini:
Hassan Ammar)
Mojtaba Amani, the Iranian ambassador to Lebanon, lost one eye and his other was seriously wounded when a pager he was carrying exploded yesterday, The New York Times reports.
Members of the Islamic Revolutionary Guard Corps tell the outlet that Amani’s injuries are more serious than initially reported, and he would be taken to Tehran for treatment.
Video on social media apparently showed Amani on a Lebanese street in the aftermath of the attack, with blood on the front of his shirt, the newspaper says.
The Saudi-owned Alhadath news channel, quoting Tehran’s embassy in Beirut, said yesterday that Amani was in “good general condition” and his injuries were only superficial.
At least nine people were killed and thousands were injured when pagers held by Hezbollah members across Lebanon exploded yesterday afternoon, in what appeared to be a widescale, coordinated attack attributed to Israel against the Iran-backed terror group.
Kwenda na roho Yako mbayaSawa wewe Revert wa shetan allah
Israel bila ya NATO na America wepesi kuliko hata JKTWadau hamjamboni nyote?
Balozi huyo nayeye alikuwa na karedio kamasiliano yaani pager na kilipobipu kwa takribani sekunde 10 akakisogeza usoni Ili asome ujumbe na Mlipuko ukatokea na kuondoka na jicho lake
Taarifa kamili hapo chini:
Hassan Ammar)
Mojtaba Amani, the Iranian ambassador to Lebanon, lost one eye and his other was seriously wounded when a pager he was carrying exploded yesterday, The New York Times reports.
Members of the Islamic Revolutionary Guard Corps tell the outlet that Amani’s injuries are more serious than initially reported, and he would be taken to Tehran for treatment.
Video on social media apparently showed Amani on a Lebanese street in the aftermath of the attack, with blood on the front of his shirt, the newspaper says.
The Saudi-owned Alhadath news channel, quoting Tehran’s embassy in Beirut, said yesterday that Amani was in “good general condition” and his injuries were only superficial.
At least nine people were killed and thousands were injured when pagers held by Hezbollah members across Lebanon exploded yesterday afternoon, in what appeared to be a widescale, coordinated attack attributed to Israel against the Iran-backed terror group.
Kwamba Jews kwa asili kwao ni wapTumeona kwenye historia hao wayahudi ni waliopewa eneo dogo TU ndani ya Palestina kupitia wakubwa zao (wamarekani),. Kisha wao wanazidi kujiongezea maeneo na kukalia ardhi isiyo yao Kwa mabavu. Alafu unasema watu wawaache wafanye watakavyo! Da! Unaweza kutekelekeza familia Yako bro kwenye matatizo. Tatizo mataifa makubwa yanawasapoti Kwa agenda wanazozijua. Mimi sio mfuasi wa vita coz wanaouawa wengi hawana hatia
😁😁😁Hako kapagers kangebaki mfukoni sasahivi balozi angekuwa hana pumbu
Huendi mbinguni lo