Balozi wa Iran Lebanon apoteza jicho moja kwenye mlipuko, jicho lingine lajeruhiwa vibaya, apelekwa Iran Kwa matibabu

halafu unajua bora wakuue tu kuliko kukufumua korodani. israel wabaya sana aisee. sasa na yeye balozi pagers za hezbollah kwanini alikuwa anazitumia sasa? atamlaumu nani.
Ni washirika wao dhidi ya Israeli. Hivi wanakumbuka siku chache nyuma ndege za Israeli zilirandaranda kwenye anga la Lebanon?Walidhani wamepelekewa mikate?
 
Iran anazidi kuumbuka kuonekana ktk taifa la watu unashirikiana na magaidi aibu sana
 
Israel bila ya NATO na America wepesi kuliko hata JKT
 
Kwamba Jews kwa asili kwao ni wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…