SirChief
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 3,304
- 3,375
Israel kwa upande wao wanawaona Hamas kama terrorists,..Upande mwingine huko Gaza wanawaona Hamas kama freedom fighters,So its depend upo upande gani,ugaidi hauna tafsiri moja...Mleta mada nakushauri soma kwanza kabla ya kuwa bias na upande wowote . Ila hamas awe gaidi umetumia kigezo kipi we we na wamarekani maana Mandela kashaitwa gaidi na hata mahatma Gandhi alipata itwa gaidi.
Secondly porojo za Israel kuhusisha makosa yaona swala la Hitler kuwauwa imekuwa ndio kawaida yao yaani ni sawa na sisi kila tatizo letu tumlaumu iddi amino bilashaka inakuwa ni ujinga.
Mwisho ikiwa wewe ni mfuasi wa imani flani fuatilia wafuasi was imani yako ndani ya Israeli wanaishije ili uwajue vizuri mayahudi na pia ukumbuke hamasi walichaguliwa na wananchi ila kwa kuwa wanapigania haki zao ndio maana wayahudi hawawapendi na kingine cha kumalizia hebu Nile size ya eneo LA Israel toka mwaja 1945 mpaka Leo ni kiasi gani na kipi kimebadilisha size ya eneo
Wewe kama umeamua kuwaona ni freedom fighters, fine ni facts kutokana na wewe unavyoona....Ndio uzuri wa kuwa na uhuru wa mawazo,..