Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Hitler alipowaua wayahudi alikuwa analipiza unyama gani waliofanyaKabla ya kufikiria hvyo ww uliwahi kufanya unyama wa wazi kwa hao watu tena wa makusudi.
Je wao wakiapa kulipiza kisasi kwako kuna makosa?