Balozi wa Israel ashusha nondo Mkutano wa UN; akata ngebe zote

Israel kwa upande wao wanawaona Hamas kama terrorists,..Upande mwingine huko Gaza wanawaona Hamas kama freedom fighters,So its depend upo upande gani,ugaidi hauna tafsiri moja...
Wewe kama umeamua kuwaona ni freedom fighters, fine ni facts kutokana na wewe unavyoona....Ndio uzuri wa kuwa na uhuru wa mawazo,..
 
Usilazimishe kila mtu aone kitu unavyokiona wewe.Kutaja taja majina ya manabii wanaoheshimika na waumini fulani ili ku justfify point yako,bado ni low level reasoning.
make your point bila kutaja taja imani za wenzio...
 
Ukweli mchungu hakuna taifa linaloitwa Israel na halitotokea ingawaje wanaforce kwa maslahi yao, mwisho juzi eti wameforce nchi kufungua balozi zao ili kuhalalisha wanaliita taifa, wanatumia nguvu kubwa sana kwa kitu amabacho hakiwezekani coz taari imeshaandikwa hivyo, hio inatokana na kumkataa Yesu
 
Mleta mada Kama hajuina palestina Kuna wakristo na wao wanapigana na izraeli hili suala sio la ki dini ni maslah ya wapalestina
 
Watu hawajui tu, lakini ukweli wa mambo wengi wenye asili ya Kiyahudi ni walaghai sana, wafitini, wabaguzi wa rangi kipindukia na wakatiri by default, 'am telling you, Yesu Kristo akirudi hapa Duniani watamuua kwa mara nyingine tena kwa kumsingizia/zulia mambo mbali mbali kama wanavyo wasingizia Wapalestina specifically wanamgambo wa Hamas, hiyo ndio hulka ya Wayahudi!!

Sina shaka wengi wenu mnakumbuka sakata la baadhi ya Waethiopia waliokimbilia Israel kuomba Uraia badala yake wakajikuta wanalundikwa kwenye makambi like marchendize, baadae Natenyahu katangazia Dunia kwamba hawezi kuwapokea kwa sababu karibu Waafrika wote ni ma-carrier wa magonjwa ya kuambukiza!! Baadae Natenyahu kamuomba Paul Kagame awachukuwe wakimbizi wote atamlipa gharama zote - sijui wali hafikiana vipi lakini inaelekea Kagame alikubali ombi la Natenyahu la kuwahifadhi wakimbizi huko Rwanda.

Niliwahi kuona video clip ya wanajeshi wa Israel wenye asili ya Ethiopia wakilalamika sana kuhusu matendo ya ubaguzi wa rangi ndani na nje ya jeshi, wanajeshi hao wenye asili ya Ethiopia wanaongeza kusema kwamba Serikali ya Israel inawachukulia kama second class citizen, hawana tofauti na jinsi Israel inavyo wachukulia raia wenye asili ya Kipalestina.

Halafu mtu anakuja hapa na bandiko la kumtukuza Balozi wa Israel kwenye Umoja wa Mataifa eti "katoa NONDO" nondo gani wakati kila mtu mwenye akili timamu walimuona/tulumuona analeta maiigizo tu anajitia kukulia lia anaonyesha picha ambazo ziko digitally manipulated akiwa na lengo la kuzuga Dunia kwa kuonyesha an imaginary "evil of HAMAS/Palestinians and blessings of them JEWS" yaani Balozi wa Israel umoja wa mataifa anarudia maiigizo yale yale ya Natenyahu miaka ya Nyuma alipo kwenda Umoja wa Mataifa akaonyesha michoro ya uongo na kweli akidai mchoro unadhilisha kwamba Iran imebakiza mwezi mmoja kulipuwa bomb la Nuklia mashariki ya kati akawasihi umoja wa NATO waishambulie Iran akidai operation hiyo ataihepusha balaa Duniani, kumbe huo ulikuwa ni ulaghai mtupu wa Natenyahu wenye lengo la kutumbukiza Dunia kwenye mapigano na Iran on Israel's behalf - a very clever but dangerous ploy by an overly bellicose Natenyahu.
 
Mleta mada Kama hajuina palestina Kuna wakristo na wao wanapigana na izraeli hili suala sio la ki dini ni maslah ya wapalestina
Mleta mada mleta mada umeelewa hata mada husika humu au kila quote unamsema mleta Mada...! Ushakuwa kama kadi poa
 
Kuandika hujui Yesu alitaka kuliwa ? Mara mukobozi? Jifunze kuhariri maneno yako kabla hujapost... afu mimi ndio nimeleta uzi na sio mada ya kujadiliwa na sijazungumzia mambo ya Yesu... "Baflesho" kandambili
 
Wewe juzi ulirusha mapicha picha ukasema hammas safari wamejiahidi kuipiga Israel sasa leo unakataa hakuna Israel je hammas walikuwa wanashambulia taifa gani

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Wewe juzi ulirusha mapicha picha ukasema hammas safari wamejiahidi kuipiga Israel sasa leo unakataa hakuna Israel je hammas walikuwa wanashambulia taifa gani

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Walikua wanapigana na kikundi cha magaidi kilicholetwa Palestine katika miaka 1945 mpaka 47, kikundi hicho kililetwa na wazungu kuanza kupewa silaha kwa gharama yoyote na kuanza kujitanua kwa kuungwa mkono na wazungu kwa sababu wao hawakuwataka na ilikua hawana nchi ya kuwaweka
 
Vipi hammas wamefanikiwa kuwashinda hao magaidi walioletwa na wazungu

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Israel wana haki ya kujilinda dhidi ya hawa wahuni wa Hamas
Hivi haya makombora yote 4,000 yaliyorushwa Israel si yalikuwa kwa lengo la kuua pia?
Makombora yaliyorushwa na Hamas Yes yalikuwa na lengo la kuuwa..

Je uliwahi kujiuliza kwanini Hamas walirusha makombora yote hayo..?

Je unajua kwanini Wapalestina raia wa nchi inayojiita Israel waliandamana kwa mara ya kwanza kuunga mkono mashambulizi ya Hamas katika Israel.

Tafakari, weka Imani pembeni,weka hisia pembeni,fikiri kwa uhalisia fikiri kwa ubinadamu.
 

Mkuu kuna manabii waliuawa na hawahawa mayahudi, wakiwemo Nabii yahya, yaaqub n.k.
 
Hizi hadithi za Israel kujitetea Ili kuhalalisha mauaji ya Wapalestina hazina msingi.

Kwa nini wanaporo ardhi za Wapalestina na hawataki kuundwa mataifa 2?
 
Aliyewatoa Wayahudi huko Middle East ni nani? Aliyekuja kuunda Taifa la Wayahudi kwa kupora ardhi za Wenzao ni nani?

Kwa nini Wapalestina wasijitetee ikiwemo kuwafuta hao Wavamizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…