Balozi wa Israel ashusha nondo Mkutano wa UN; akata ngebe zote

There is an old joke about Israel.😬

An Israeli, an American and a Russian were having a drink in a bar.
Suddenly, a terrorist walks in and threatens to kill all of them but grants then one last request each.
The American uses his last request to order his last meal. The Russian used his last request to have time to write a letter to his wife.
When it came to the Israeli's turn, he requested that the terrorist kick him in the ass.
The terrorist was confused at first, but then realized the Israeli must've been mocking him, so the terrorist in anger fulfilled the Israeli's request and kicked him from behind.
The Israeli went sprawling, but rolled to his knees, pulled a 9mm pistol from under his jacket and shot the terrorist dead.
The American and Russian were both confused and asked, “why didn't you just shoot him in the first place? Why did you ask him to kick you?”
The Israeli shrugged and said, “if I had, the news would've been biased against me. This way at least no one can say I was the aggressor".
 
Sasa hawa wayahudi asili yao ni wapi kama hapo Israel walipewa na UN baada ya kufurushwa Germany? Ardhi wanayokalia ni asili yao kama ilivyo Hamas?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Yesu wa kwenye Biblia sio nabii Issa wa kwenye Kuruan.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kiama hakitasimam mpaka Yahudi atkaejificha chini ya jiwe lizungumze "Yuko hapa njooni mumuuwe"
 
Ila hii mambo kwamba dini fulani itakuja kuitawala dunia naona ni utopian..dunia na natural laws zake haziwezi kuruhusu eti kila kitu huwa uniform . Hizo ni hekaya tu na vichekesho...
By the way hizi dini hizi za itikadi kali zimetuondolea ku reason Mambo critically.
 
Yesu wa kwenye Biblia sio nabii Issa wa kwenye Kuruan.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ata kama ww unasema sie but wayahudi hawamkubali na uyahudi na ukiristo ni vitu viwili tofauti, hao wanaochanganya uyahudi na ukiristo ndio haohao wanaohalalisha ndoa za jinsia moja ndio haohao wanatangaza kujiunga na freemanson ndio haohao wanaomwaga damu za watu kila siku, hii dunia ina mambo mengi sana machafu yanayofanywa na wanaojiita mabeberu
 
Magaidi yanamwaga damu za watu kila siku ka hujui na bado wanaendelea. Juzi Afghanistan wameua wasichana wa shule wa kwao, alafu unasema nini. Terrorist ni wa kumaliza tu, hakuna kuongea. Sababu wakikushika wao, ni hivyo hivyo!
 
Ulichoandika una lengo binafsi au umejiandikia tu... Eti Wayahudi ni Walaghai?
Kuna Jamii gani ya Watu sio Walaghai? Nitajie.
Wajerumani na Kal Peters
Waturuki walitamalaki wa ulaghai duniani,
Wanigeria wasiotakikana Popote,
Wasomali hamna haja ya Kuongezea,
Wairan tena wao kukugeuka ni sekunde tu,
Wapalestina? Wapalestina Huko Syria,Lebanon wao ndio Second tusema na wengine hata uraia hawajawahi pesa na kazi wavivu. hawatakiwi hata na nchi za kiarabu wenzao.
Turudi Tanzania Wachaga? Wamama wa Wamachame n.k so Hoja uliyotoa ya kuwaponda Wayahudi ni Hoja yako Binafsi ya kijinga Ulaghai wa Mtu ni Tabia ni sawa usem Mhaya ni Mwalaya wakati ukienda kwa wauza nyuchi kila kabila utawapata. so nakupa sifa ya Ubwege.

Kuhusu hao Wavamizi wa Kiafrica huna hoja, Hata Tanzania ilishawasaka wahamijai haramu wakapatikana Warundi Wacongo na Waburundi na nchi kadhaa Waliondolewa nchi na wengine nchi walizopelekwa walikataliwa... so Israel na Tanzania ni sawa kwa au ni Sheria za Kimataifa... Bado unaonesha una chuki zako Binafsi.. Kwa hilo nakupa Sifa za Chuki Binafsi.

Kuchukulia mtu second Citizen naweza sema ni Sawa maana hata Tanzania Kuna Wahindi na Waarabu ukienda Jeshini huwakuti polisi huwakuti zimamoto n.k Labda kampuni binafsi za ulinzi tena wakiwa viongozi tu. Hao unaweza wapa class gani katika nchi yako? ikiwa Maandamano hawashiriki, vita hawashiriki... Jibu tafuta mwenyewe. Waethiopia wamehamishwa kule wakaishi na ndugu zao wanatakiwa wapambane sio kusubiri msosi wa bure... Tatizo mnadhani mtu hajasoma apewe kazi kuendesha Iron Dome n.k au aongoze Shirika la Ndege n.k Waisrael wengi tu Masikini na hawalalamiki kama unavyolalamika wewe... hao wanaolalamika always ni wavivu hata Marekani wapo.

Mimi kuja na Bango unasema nimetukuza... kwahiyo unataka nimtukuze Balozi wa Palestina anayeongea upuuzi tu muda wote hataji Hamas anaaka Palestina tu... na Balozi wa Israel katema nondo haswa kwa ajili ya Wajinga kama wewe ili mnapotetea sijui maandamano mueleweke kuwa mnatetea Magaidi... na hili lipo wazi maana Hamas wamejitangaza wameshinda alafu wanalia eti wameonewa nenda kawasaidia kufukua miili wanayoitoa kwenye mahandaki kila siku au kawasaidie kuzika...

taja chochote cha uongo alichosema Balozi wa Israel...

Umemaliza na Balozi umehamia kwa Netanyahu Issue ya Miaka kibao kuhusu Iran na kama aliongea uongo basi makubaliano ya kuweka uangalizi yasingekuwepo hivi umeamka tu na kuanza kuandika from your bald head au kuna tafiti za kisayansi na tech umefanya hadi kuanza kupinga pinga mtu anayosema bila kuweka nondo zako kusapoti... wewe ni mkongwe humu ila umeandika as if mavi yamekubana so unakimbilia chooni ndio akili zako ulivyoandika.
 
Hawa jamaa ni wauaji hawana lolote.
Maafa na visasi wamevizalisha wenyewe.
Au wanajisahaulisha kuanzia miaka ya 1948 walivyoanza kuvamia kivita maeneo ya mashariki ya kati?
Au wanajisahaulisha ukatili walioufanya wa kimakusudi miaka ya 1960s Beirut?
Au wanajisahaulisha ubabe usiokua na maana walioufanya miaka ya 196os Sinai,Jordan na Syria?
Unategemea kuna atakaeridhia kukaa na hawa mbwa?
 
...
Unategemea kuna atakaeridhia kukaa na hawa mbwa?
... nowadays zipo direct flights between Tel Aviv to Dubai over Saudi Arabia air space kitu ambacho miaka mitano iliyopita ingekuwa zaidi ya "kufuru". Israel ina uhusiano mzuri na the kingdoms of Saudi Arabia, Oman, UAE, Jordan, na Kuwait plus Egypt. Sijui hapo mbwa ni nani; wewe au hayo mataifa rafiki?
 
Mi ni Mkristo. Na najuq Jews sio Wakristo na si wa Imani yangu.
Lakini kama binadamu, ikiwa wewe familia yako ilipangwa iwe eliminated na wakauawa wengi . Na leo tena kuna kauli ya askari au kokosi kikijiapisha kuwaua familia yako yote (Jews ) ungechukuq jukumu gan?
 
Mataifa mawili yapi je kulishakuwaga na taifa lililoitwa palestina kwanini wapalestina walipoona Israel wameunda taifa lao nao wanalazimisha kuunda kwenye ardhi ya waisrael
Unapaswa ufaham Palestine ilikuwepo chini ya utawala wa Ottoman Empire.

Na Palestine iliridhia kuwa chini ya utawala wa Ottoman.Baada ya Ottoman Empire kumpokonya France Palestine na kuikomboa Palestine kwa France Palestine iliishi vema km miongoni mwa states za Turk(Ottoman) mpk Uingereza ilipoitwaa palestine kutoka kwa Turk baada ya himaya hiyo kupunguzwa nguvu vita ya kwanza ya dunia na kuanza kumegek taratibu kabla ya kuvunjika mazima 1947 mwishon mwa vita ya pili ya dunia.
Na UK kabla Palestine haijatengemaa wakawaleta waisrael middle East ikiwa Palestine bado haina uhuru kamili.
Na Palestine ilikua teyari ina bendera yake uionayo sasa toka miaka ile.
Kasoro ni kwamba hawakutengemaa ktk kuunda mfumo wa uongozi ndipo wayahud wakafanya zionism movement wakiwa supported na UK na US.
Hivyo Palestine ilikuwepo.
 
Hivi unashindwa kuelewa kwamba ktk hayo mataifa hususan Egypt kuna yaliyowalazimisha waunde urafiki na Israel?
Karibuni kote huko US keshachomeka puppets unategemea washindwe kumuunga mkono Israel?
Egypt kupitia mkataba wa David camp analipwa hela na US na anapewa millitary budget je ushawahi jiuliza kwanini?
Aya Australia,China,Scandinavia nations ambazo hizo ni nchi zenye idadi ya wakristo wengi ukiitoa China wanapingana na Israel mpk sasa,JE HILO UNALIZUNGUMZIAJE?
Waarabu wanajulikana kuwa ni wanafiki na wapenda maslahi ila hilo halibadilishi kuwa Israel ni mbwa katili alofanya mauaji ya wazi tokea miaka ya 1960 tena kimakusudi kabisa.
Huo ndio ukweli na utabakia kuwa ukweli.
Hapo ndipo utajiuliza kwann Morsi alipinduliwa na kupachikwa Elsisi kibaraka wa US.
Wanaojitambua Lebanon,Syria,Iran,Iraq,Afghanistan,Yemen hawawez kusimama na Israel.
NA HIYO JORDAN UNAYOITAJA INA MAHUSIANO MAZURI NA ISRAEL MWAKA HUU ZILE VURUGU ZA IDF NA HAMAS JORDAN ILIRUSHA TAKRIBAN MAROKETI 35 KUELEKEA ISRAEL.
ASA SIJUI UHUSIANO MZURI HUO UNATOKA WAPI.
 
Kabla ya kufikiria hvyo ww uliwahi kufanya unyama wa wazi kwa hao watu tena wa makusudi.
Je wao wakiapa kulipiza kisasi kwako kuna makosa?
 
We mkenya una matatizo ya ufahamu.
UNAMUITAJE HAMAS GAIDI ILHALI ANATETEA TAIFA LAKE?
HIVI UNAJUA ISRAEL WALILETA MAAFA GANI PINDI WALIPOFANYA ZIONISM MOVEMENT?
UNAJUA ISRAEL ILIUA KINA MAMA NA WATOTO WANGAPI PINDI WALIPOKUA WANAFANYA EXPANSION MIAKA YA 1960 HAPO MIDDLE EAST?
YOTE HUYAJUI UNAONGEA KIUSHABIKI.
FANYA TAFITI NDIO UONGEE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…