Libya ilivyovamiwa walikuwa wapiTupo pamoja humu Jamvini kwa sababu unashabikia unachokipenda mbali na madhira yake na pia unapenda wanachochukia wengine! Kujenga hoja si kazi nyepesi, jitahidi tu hata kama unavutiwa sana na "attack ya personality".Tuendelee na mjadala, Mkuu.
Russia ni mzazi wa nani?Kwani ulivyokuwa mdg ......huoni wazazi walikuwa Wana kuzuia ku organize na baadhi ya wenzako
Wazee wa kijipa umuhimu wasiokua nao..Kenya wamepewa usuper power
Zelensky sasa hivi pombe kali zimemuisha kabisa ,alizani marekani atakinga kifua lakin imekuwa tofauti sana , maana wamepima marekani na machawa wake , wamekuwa wapole sana ,wamebaki kubweka putin hana mchezo ktk swala la usalama wa Taifa ,na bunge limemuunga mkonoDaaah USA. Kamwingiza cha kike zelensky wa watu[emoji23][emoji23]
Na Trump kashakubari kwamba Putin ni genius / very very smart personNyie pigeni kelele ongeeni kwa ukali mkitaka mlie na kulia ila anayejihisi mjanja si amfate putin maana mwamba ashaingia tayari.
Mtaishia maneno na ngonjera ila mwanaume ye haongea anafanya yake.
NB: vitendo vina Sauti kuliko maneno
Mbna Obama....muafrika mwenzetu.....aliingiza majesh kuiharibu nchi ya Libya ....Watanzania munapenda kuteta sana!
Sasa Russia ikija iseme Daresalaam na Zanzibar zitambuliwe kama inchi nyingine mtakubali,hii Russia imeanza kujiingiza Afrika polepole wakati watatuteka ndio kutawaka moto,Kazi ya Russia nikupea magaidi wa inchi tofauti masilaha ndio ionekane ni akina America na France wanafanya hivo!
Hakuna mtu mweusi anayeishi huko Russia na kama kunae hawawezi kupita 1000!!!!!
Europe na America Waafrika tumepewa vyeo na heshima
Obama alishakuwa Rais wa Amerika,Lakini Russia katu hawawezi kukubali!
Watanzania msikuwe mnashangilia vitu tu hivyo,unaskia eti mtanzania ana supporti Russia na Russia ata hakutambui wwe mwafrika mweusi kama mimi!
Russia jeshi yake ya Red army ni very racists na wana abudu shetani,kabla hujaingia jeshi lao unabatizwa kishetani!!!
Hio inchi na ilivyo kubwa bado inataka kujinenepesha kwa kumeza inchi zengine!!!
Wanataka pia kuja huku Afrika kuleta jeshi zao polepole wakijifanya wanasaidia baadae ndio moto itawaka!!!
Nmeona zelensky anampango wa kugawia raia silaha.. .Sijui Nani kampa wazo hili......coz atakuwa kashaimaliza nchiZelensky sasa hivi pombe kali zimemuisha kabisa ,alizani marekani atakinga kifua lakin imekuwa tofauti sana , maana wamepima marekani na machawa wake , wamekuwa wapole sana ,wamebaki kubweka putin hana mchezo ktk swala la usalama wa Taifa ,na bunge limemuunga mkono
Ilitakiwa ujiulize kwanini kuna wanarekani weusi au unadhani walipelekwa huko kufurahia maisha ,hao waliteswa sana mababu zao walikuwa watumwa ,russia aijawai kuchukua watumwa afrika wala kufanya ufirauni wa kukoloni africaWatanzania munapenda kuteta sana!
Sasa Russia ikija iseme Daresalaam na Zanzibar zitambuliwe kama inchi nyingine mtakubali,hii Russia imeanza kujiingiza Afrika polepole wakati watatuteka ndio kutawaka moto,Kazi ya Russia nikupea magaidi wa inchi tofauti masilaha ndio ionekane ni akina America na France wanafanya hivo!
Hakuna mtu mweusi anayeishi huko Russia na kama kunae hawawezi kupita 1000!!!!!
Europe na America Waafrika tumepewa vyeo na heshima
Obama alishakuwa Rais wa Amerika,Lakini Russia katu hawawezi kukubali!
Watanzania msikuwe mnashangilia vitu tu hivyo,unaskia eti mtanzania ana supporti Russia na Russia ata hakutambui wwe mwafrika mweusi kama mimi!
Russia jeshi yake ya Red army ni very racists na wana abudu shetani,kabla hujaingia jeshi lao unabatizwa kishetani!!!
Hio inchi na ilivyo kubwa bado inataka kujinenepesha kwa kumeza inchi zengine!!!
Wanataka pia kuja huku Afrika kuleta jeshi zao polepole wakijifanya wanasaidia baadae ndio moto itawaka!!!
Akili zako finyu sana ubatizo wa shetani ni kutenda dhambi .....siyo hivyo unavyo jidanganya ,utasikia mtu anatishia watu freemason kana kwamba dhambi ni freemason pasipo freemason hakuna dhambi ! You very stuuuuupidWatanzania munapenda kuteta sana!
Sasa Russia ikija iseme Daresalaam na Zanzibar zitambuliwe kama inchi nyingine mtakubali,hii Russia imeanza kujiingiza Afrika polepole wakati watatuteka ndio kutawaka moto,Kazi ya Russia nikupea magaidi wa inchi tofauti masilaha ndio ionekane ni akina America na France wanafanya hivo!
Hakuna mtu mweusi anayeishi huko Russia na kama kunae hawawezi kupita 1000!!!!!
Europe na America Waafrika tumepewa vyeo na heshima
Obama alishakuwa Rais wa Amerika,Lakini Russia katu hawawezi kukubali!
Watanzania msikuwe mnashangilia vitu tu hivyo,unaskia eti mtanzania ana supporti Russia na Russia ata hakutambui wwe mwafrika mweusi kama mimi!
Russia jeshi yake ya Red army ni very racists na wana abudu shetani,kabla hujaingia jeshi lao unabatizwa kishetani!!!
Hio inchi na ilivyo kubwa bado inataka kujinenepesha kwa kumeza inchi zengine!!!
Wanataka pia kuja huku Afrika kuleta jeshi zao polepole wakijifanya wanasaidia baadae ndio moto itawaka!!!
sababu Gaddafi alikuwa terrorist!Mbna Obama....muafrika mwenzetu.....aliingiza majesh kuiharibu nchi ya Libya ....
zero brainsababu Gaddafi alikuwa terrorist!
Alijifanya akisema mazuri lakini mambo aliyofanya yalikuwa ya kinyama!
Ata sahi uko Libya wanamchukia na manavumbua ambavyo alifanya,alikuwa akinyanyasa nchi yake na alikuwa racist sana,alikuwa akisurporti magaidi,ambao walikuwa wakidhulumu wananchi wa Libya na kushambulia nchi zengine kigaidi
Alikuwa Osama wa Afrika!
Alikuwa anashikwa mkono na Arab states na kazi yao ilikuwa ni kuleta immigrants waarabu Afrika na kuwadhulumu Waafrika weusi!
Alijifanya mzuri ili aweze kututumia akijifanya anapenda Afrika,na alichukia Europe na Amerika sana!
Huyo jamaa kama hangemalizwa Afrika ingekuwa imejaa waarabu kotekote!
wwe mwenye brain Gaddafi alikuwa mzuri na nini???zero brain
nawew thibitisha gadafi alikuwa na ubaya gani,tusiwe na idelogy za kijinga na facts zisizo na connectionwwe mwenye brain Gaddafi alikuwa mzuri na nini???