Watanzania munapenda kuteta sana!
Sasa Russia ikija iseme Daresalaam na Zanzibar zitambuliwe kama inchi nyingine mtakubali,hii Russia imeanza kujiingiza Afrika polepole wakati watatuteka ndio kutawaka moto,Kazi ya Russia nikupea magaidi wa inchi tofauti masilaha ndio ionekane ni akina America na France wanafanya hivo!
Hakuna mtu mweusi anayeishi huko Russia na kama kunae hawawezi kupita 1000!!!!!
Europe na America Waafrika tumepewa vyeo na heshima
Obama alishakuwa Rais wa Amerika,Lakini Russia katu hawawezi kukubali!
Watanzania msikuwe mnashangilia vitu tu hivyo,unaskia eti mtanzania ana supporti Russia na Russia ata hakutambui wwe mwafrika mweusi kama mimi!
Russia jeshi yake ya Red army ni very racists na wana abudu shetani,kabla hujaingia jeshi lao unabatizwa kishetani!!!
Hio inchi na ilivyo kubwa bado inataka kujinenepesha kwa kumeza inchi zengine!!!
Wanataka pia kuja huku Afrika kuleta jeshi zao polepole wakijifanya wanasaidia baadae ndio moto itawaka!!!