Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

Nyie pigeni kelele ongeeni kwa ukali mkitaka mlie na kulia ila anayejihisi mjanja si amfate putin maana mwamba ashaingia tayari.
Mtaishia maneno na ngonjera ila mwanaume ye haongea anafanya yake.
NB: vitendo vina Sauti kuliko maneno
 
Watanzania munapenda kuteta sana!
Sasa Russia ikija iseme Daresalaam na Zanzibar zitambuliwe kama inchi nyingine mtakubali,hii Russia imeanza kujiingiza Afrika polepole wakati watatuteka ndio kutawaka moto,Kazi ya Russia nikupea magaidi wa inchi tofauti masilaha ndio ionekane ni akina America na France wanafanya hivo!
Hakuna mtu mweusi anayeishi huko Russia na kama kunae hawawezi kupita 1000!!!!!
Europe na America Waafrika tumepewa vyeo na heshima
Obama alishakuwa Rais wa Amerika,Lakini Russia katu hawawezi kukubali!
Watanzania msikuwe mnashangilia vitu tu hivyo,unaskia eti mtanzania ana supporti Russia na Russia ata hakutambui wwe mwafrika mweusi kama mimi!

Russia jeshi yake ya Red army ni very racists na wana abudu shetani,kabla hujaingia jeshi lao unabatizwa kishetani!!!
Hio inchi na ilivyo kubwa bado inataka kujinenepesha kwa kumeza inchi zengine!!!
Wanataka pia kuja huku Afrika kuleta jeshi zao polepole wakijifanya wanasaidia baadae ndio moto itawaka!!!
 
Mimi kibinafsi Nasupporti Nato na Ukraine!
Sababu mimi kama mwafrika mweusi,naweza kupewa kazi,na kuoa huko na nichaguliwe MP huko,lakini Russia hawawezi kunikubali labda waniue,wanyama waabudu mashetani,nkt
Kuna siku Putin alisema eti,Afrika is a grave site!!!nlimchukia tu hapohapo!
Yani anatutharau sana sisi weusi,na akishaweza kuingiza jeshi zao Afrika kwa wingi,tutakipata cha mtema kuni!!!
 
Daaah USA. Kamwingiza cha kike zelensky wa watu[emoji23][emoji23]
Zelensky sasa hivi pombe kali zimemuisha kabisa ,alizani marekani atakinga kifua lakin imekuwa tofauti sana , maana wamepima marekani na machawa wake , wamekuwa wapole sana ,wamebaki kubweka putin hana mchezo ktk swala la usalama wa Taifa ,na bunge limemuunga mkono
 
Nchi za Africa ni wapenzi watazamaji tu hata wakifoka hakipungui kitu
 
Nyie pigeni kelele ongeeni kwa ukali mkitaka mlie na kulia ila anayejihisi mjanja si amfate putin maana mwamba ashaingia tayari.
Mtaishia maneno na ngonjera ila mwanaume ye haongea anafanya yake.
NB: vitendo vina Sauti kuliko maneno
Na Trump kashakubari kwamba Putin ni genius / very very smart person
 
Watanzania munapenda kuteta sana!
Sasa Russia ikija iseme Daresalaam na Zanzibar zitambuliwe kama inchi nyingine mtakubali,hii Russia imeanza kujiingiza Afrika polepole wakati watatuteka ndio kutawaka moto,Kazi ya Russia nikupea magaidi wa inchi tofauti masilaha ndio ionekane ni akina America na France wanafanya hivo!
Hakuna mtu mweusi anayeishi huko Russia na kama kunae hawawezi kupita 1000!!!!!
Europe na America Waafrika tumepewa vyeo na heshima
Obama alishakuwa Rais wa Amerika,Lakini Russia katu hawawezi kukubali!
Watanzania msikuwe mnashangilia vitu tu hivyo,unaskia eti mtanzania ana supporti Russia na Russia ata hakutambui wwe mwafrika mweusi kama mimi!

Russia jeshi yake ya Red army ni very racists na wana abudu shetani,kabla hujaingia jeshi lao unabatizwa kishetani!!!
Hio inchi na ilivyo kubwa bado inataka kujinenepesha kwa kumeza inchi zengine!!!
Wanataka pia kuja huku Afrika kuleta jeshi zao polepole wakijifanya wanasaidia baadae ndio moto itawaka!!!
Mbna Obama....muafrika mwenzetu.....aliingiza majesh kuiharibu nchi ya Libya ....
 
Zelensky sasa hivi pombe kali zimemuisha kabisa ,alizani marekani atakinga kifua lakin imekuwa tofauti sana , maana wamepima marekani na machawa wake , wamekuwa wapole sana ,wamebaki kubweka putin hana mchezo ktk swala la usalama wa Taifa ,na bunge limemuunga mkono
Nmeona zelensky anampango wa kugawia raia silaha.. .Sijui Nani kampa wazo hili......coz atakuwa kashaimaliza nchi
 
Watanzania munapenda kuteta sana!
Sasa Russia ikija iseme Daresalaam na Zanzibar zitambuliwe kama inchi nyingine mtakubali,hii Russia imeanza kujiingiza Afrika polepole wakati watatuteka ndio kutawaka moto,Kazi ya Russia nikupea magaidi wa inchi tofauti masilaha ndio ionekane ni akina America na France wanafanya hivo!
Hakuna mtu mweusi anayeishi huko Russia na kama kunae hawawezi kupita 1000!!!!!
Europe na America Waafrika tumepewa vyeo na heshima
Obama alishakuwa Rais wa Amerika,Lakini Russia katu hawawezi kukubali!
Watanzania msikuwe mnashangilia vitu tu hivyo,unaskia eti mtanzania ana supporti Russia na Russia ata hakutambui wwe mwafrika mweusi kama mimi!

Russia jeshi yake ya Red army ni very racists na wana abudu shetani,kabla hujaingia jeshi lao unabatizwa kishetani!!!
Hio inchi na ilivyo kubwa bado inataka kujinenepesha kwa kumeza inchi zengine!!!
Wanataka pia kuja huku Afrika kuleta jeshi zao polepole wakijifanya wanasaidia baadae ndio moto itawaka!!!
Ilitakiwa ujiulize kwanini kuna wanarekani weusi au unadhani walipelekwa huko kufurahia maisha ,hao waliteswa sana mababu zao walikuwa watumwa ,russia aijawai kuchukua watumwa afrika wala kufanya ufirauni wa kukoloni africa
 
Watanzania munapenda kuteta sana!
Sasa Russia ikija iseme Daresalaam na Zanzibar zitambuliwe kama inchi nyingine mtakubali,hii Russia imeanza kujiingiza Afrika polepole wakati watatuteka ndio kutawaka moto,Kazi ya Russia nikupea magaidi wa inchi tofauti masilaha ndio ionekane ni akina America na France wanafanya hivo!
Hakuna mtu mweusi anayeishi huko Russia na kama kunae hawawezi kupita 1000!!!!!
Europe na America Waafrika tumepewa vyeo na heshima
Obama alishakuwa Rais wa Amerika,Lakini Russia katu hawawezi kukubali!
Watanzania msikuwe mnashangilia vitu tu hivyo,unaskia eti mtanzania ana supporti Russia na Russia ata hakutambui wwe mwafrika mweusi kama mimi!

Russia jeshi yake ya Red army ni very racists na wana abudu shetani,kabla hujaingia jeshi lao unabatizwa kishetani!!!
Hio inchi na ilivyo kubwa bado inataka kujinenepesha kwa kumeza inchi zengine!!!
Wanataka pia kuja huku Afrika kuleta jeshi zao polepole wakijifanya wanasaidia baadae ndio moto itawaka!!!
Akili zako finyu sana ubatizo wa shetani ni kutenda dhambi .....siyo hivyo unavyo jidanganya ,utasikia mtu anatishia watu freemason kana kwamba dhambi ni freemason pasipo freemason hakuna dhambi ! You very stuuuuupid
 
Mbna Obama....muafrika mwenzetu.....aliingiza majesh kuiharibu nchi ya Libya ....
sababu Gaddafi alikuwa terrorist!
Alijifanya akisema mazuri lakini mambo aliyofanya yalikuwa ya kinyama!
Ata sahi uko Libya wanamchukia na manavumbua ambavyo alifanya,alikuwa akinyanyasa nchi yake na alikuwa racist sana,alikuwa akisurporti magaidi,ambao walikuwa wakidhulumu wananchi wa Libya na kushambulia nchi zengine kigaidi
Alikuwa Osama wa Afrika!
Alikuwa anashikwa mkono na Arab states na kazi yao ilikuwa ni kuleta immigrants waarabu Afrika na kuwadhulumu Waafrika weusi!
Alijifanya mzuri ili aweze kututumia akijifanya anapenda Afrika,na alichukia Europe na Amerika sana!
Huyo jamaa kama hangemalizwa Afrika ingekuwa imejaa magaidi waarabu kotekote!
 
sababu Gaddafi alikuwa terrorist!
Alijifanya akisema mazuri lakini mambo aliyofanya yalikuwa ya kinyama!
Ata sahi uko Libya wanamchukia na manavumbua ambavyo alifanya,alikuwa akinyanyasa nchi yake na alikuwa racist sana,alikuwa akisurporti magaidi,ambao walikuwa wakidhulumu wananchi wa Libya na kushambulia nchi zengine kigaidi
Alikuwa Osama wa Afrika!
Alikuwa anashikwa mkono na Arab states na kazi yao ilikuwa ni kuleta immigrants waarabu Afrika na kuwadhulumu Waafrika weusi!
Alijifanya mzuri ili aweze kututumia akijifanya anapenda Afrika,na alichukia Europe na Amerika sana!
Huyo jamaa kama hangemalizwa Afrika ingekuwa imejaa waarabu kotekote!
zero brain
 
Back
Top Bottom