Balozi wa Kenya aishambulia Russia kwa kuyatambua kama majimbo huru ya Ukraine

nawew thibitisha gadafi alikuwa na ubaya gani,tusiwe na idelogy za kijinga na facts zisizo na connection
sasa hii nini unasema?
Sasa si umeniiita zero brain kwa kusema ubaya wa Gaddafi!!!
Wwe inaonekana ata hujui Gaddafi unajua picha na jina yake tu😬😬😬😬
 
 
Mjomba kuhusu hiyo issue ya russia na Ukraine kama hujui historia na chanzo cha yote haya hebu kasome kwanza ndio uje.
 
We mjomba hebu lala asee ..unajidhalilisha sana asee
 
Angekuwepo naniliu angeushangaza ulimwengu kwa kuwabagaza mabeberu😆
 
Mimi kibinafsi Nasupporti Nato na Ukraine!
Sababu mimi kama mwafrika mweusi,naweza kupewa kazi,na kuoa huko
Watanzania na waafrika wengine wameoa huko Russia wana "extended families" huko sasa kama ninyi akina Kacheng, mlichengwa na kuona utu wa waRussia mkabaki mnakimbilia chengi za watu wa magharibi hatuna cha kuwasaidia kuwachengua muwe safi kujua uhalisia wa dunia zaidi ya kuwaambia poleni na njoo tuwafundishe.

Sijui utanielewa maana sentensi ndeefu kweli!
 
Je baada ya kumuua gaddafi...nini walichokifanya kumaliza civil wars
 
WaAfrika wagani Russia kwanza watanzania😱Hadithi za abunuasi vijiweni😂😂
Russia sio kama USA eti unachapisha mjulus kwa madada zao huko uweke mimba uolewe!,wwe mwafrika mweusi kama mimi,niwapi wakenya hatujafika eti unifunze!!?
Kwanza unajua population ya blacks uko Russia??
Hao ni facist,Rassists and Marxists!!!
Wanatambua tu White!!!
Na kama wananyanyasa Ukraine na ni white kama awo!je wwe mwafrika trako nyeusi kama mimi!!
 
si umeniita zero brains,inaonekana labda sijui Gaddaffi wwe ndio basi unafaa uniambie ni mzuri aje,kafanya nini????
Gaddafi alikuwa ni anti marekani .......hizo sifa zote Mbaya utapewa ukiwa against US interests

That's y umesema. URUSI wanaabudu shetani[emoji23][emoji23][emoji23]. Hi misemo ilitumika zaman na wazungu kuwa wacommunist ni mashetan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…