Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Ninyi mna agenda ya Siri kuharibu image ya Tanzania ktk sector za uchumi kama vile utalii, kila mtz akipimwa Kenya ana virus za corona, hilo halikubaliki
Sasa hivi nakuna Mtalii ambaye atakuja tanzania nchi nyingi zinapigana na korona na korona ikiisha hata isipoisha nchi zitakua na jukumu la kufufua chumi zao kile tanzania wangefanya wangecheza mchezo wao chini magufuli hangekuja hadarani kushutumu juhudi za waziri na aseme vipimo sio sawa,angemwambia ummy mwalimu atangaze idadi ya chini kila siku hadi zero na achukue hata wiki moja kila siku awe anatangaza Hakuna maambukizi mapya , lakini kwa Sasa Hakuna nchi ambayo itaruhusu watu wake Waje warudishe kule maambukizi.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Kenya haiwez kuishi bila TANZANIA [emoji1241] hata kwa siku saba tu ,hii imejidhihirisha maana mumepewa cku 7 lakin bado mkaziona nyingi mkulu wenu ameamua ampigie cm Rais wa Africa mashariki na kuomba poo .

Sent using Jamii Forums mobile app
Km hujui mambo uliza[emoji23][emoji23][emoji23] magufuli ndio kawapa huo mda viongozi wenu ndio waje waongee na wakenya hko mipakani..
Ukurupukaji aisee..
Wapi imeandikwa uhuru ndiye kampigia simu magufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Magu mwnywe ndio kasema nimeongea na uhuru kupitia simu..

Lkn km ni kupimwa mtapimwa tu na mpaka hautofunguliwa

Peleka upumbavu Uhuru kampigia JPM mara tatu tangu mfungiwe tena baada ya yeye mwenyewe kutangaza kufungwa mpaka na Tanzania! Si mngeenda Ethiopia ama Uganda kufuata hicho chakula mlichokuwa mnasema mtapata huko, kwa vile Tanzania kuna coronavirus? Shenzy type!

Kasema uhuru kanipigia cm , ninyi mlivyofunga Kuna kiongozi yeyote aliewapigia cm lakin TZ cku 1 tu kaanza balozi wenu leo kapiga cm mkulu wenu ulishamuona balozi wetu huko kulialia Kama wenu
Km hujui mambo uliza[emoji23][emoji23][emoji23] magufuli ndio kawapa huo mda viongozi wenu ndio waje waongee na wakenya hko mipakani..
Ukurupukaji aisee..
Wapi imeandikwa uhuru ndiye kampigia simu magufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Magu mwnywe ndio kasema nimeongea na uhuru kupitia simu..

Lkn km ni kupimwa mtapimwa tu na mpaka hautofunguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani mwenye uchumi wa mazingaombwe ameshajulikana na mwenye uchumi imara kajulikana
Km hujui mambo uliza[emoji23][emoji23][emoji23] magufuli ndio kawapa huo mda viongozi wenu ndio waje waongee na wakenya hko mipakani..
Ukurupukaji aisee..
Wapi imeandikwa uhuru ndiye kampigia simu magufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Magu mwnywe ndio kasema nimeongea na uhuru kupitia simu..

Lkn km ni kupimwa mtapimwa tu na mpaka hautofunguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tanzania ni inchi ya ajabu, yaani kuanzia rais hadi kajamba kama wewe wote vilaza! Kenya kuingia lazima upimwe kama unapinga njoo na lorry lako uone.
 
Kasema uhuru kanipigia cm , ninyi mlivyofunga Kuna kiongozi yeyote aliewapigia cm lakin TZ cku 1 tu kaanza balozi wenu leo kapiga cm mkulu wenu ulishamuona balozi wetu huko kulialia Kama wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kabla ya kufungiwa mpaka Uhuru na Raila woote walikuwa busy kumtafuta JPM! Usicheze hata kidogo na mwenye kukulisha na kukufanya uende chooni! Anamiliki ufunguo wa mlango wa "choo"!
 
Saizi wakenya taarifa zao hawataji wagonjwa kutoka Tz😀😆. Dawa imeingia
 
Back
Top Bottom