Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
- Thread starter
-
- #281
Ninyi mna agenda ya Siri kuharibu image ya Tanzania ktk sector za uchumi kama vile utalii, kila mtz akipimwa Kenya ana virus za corona, hilo halikubalikiMbna uganda na rwanda wanafanya tu hivi?? Tofauti ipo wapi kati ya inachokifanya kenya na uganda,rwanda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi nakuna Mtalii ambaye atakuja tanzania nchi nyingi zinapigana na korona na korona ikiisha hata isipoisha nchi zitakua na jukumu la kufufua chumi zao kile tanzania wangefanya wangecheza mchezo wao chini magufuli hangekuja hadarani kushutumu juhudi za waziri na aseme vipimo sio sawa,angemwambia ummy mwalimu atangaze idadi ya chini kila siku hadi zero na achukue hata wiki moja kila siku awe anatangaza Hakuna maambukizi mapya , lakini kwa Sasa Hakuna nchi ambayo itaruhusu watu wake Waje warudishe kule maambukizi.Ninyi mna agenda ya Siri kuharibu image ya Tanzania ktk sector za uchumi kama vile utalii, kila mtz akipimwa Kenya ana virus za corona, hilo halikubaliki
Hapo itakuwa the end of Kikuyu in powerAlaaa!!leo ndio mnajua km kuna sheria wakati mlitucheka kusikia majeshi somalia na ethiopia wamepigana mpakani..
Wanafiki nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Jubilee ni chama cha juzi[emoji23][emoji23]Hapo itakuwa the end of Kikuyu in power
Huo utakuwa mwisho Wa jubilii na wakikuyu kushika nchi
Send by APOLO 1
Km hujui mambo uliza[emoji23][emoji23][emoji23] magufuli ndio kawapa huo mda viongozi wenu ndio waje waongee na wakenya hko mipakani..Kenya haiwez kuishi bila TANZANIA [emoji1241] hata kwa siku saba tu ,hii imejidhihirisha maana mumepewa cku 7 lakin bado mkaziona nyingi mkulu wenu ameamua ampigie cm Rais wa Africa mashariki na kuomba poo .
Sent using Jamii Forums mobile app
Km hujui mambo uliza[emoji23][emoji23][emoji23] magufuli ndio kawapa huo mda viongozi wenu ndio waje waongee na wakenya hko mipakani..
Ukurupukaji aisee..
Wapi imeandikwa uhuru ndiye kampigia simu magufuli[emoji23][emoji23][emoji23]
Magu mwnywe ndio kasema nimeongea na uhuru kupitia simu..
Lkn km ni kupimwa mtapimwa tu na mpaka hautofunguliwa

"Haiwezekani madereva wa Tanzania wazuiwe wakati wa Kenya waruhusiwe kuingia!" JPM
#Akilizahandshake#
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Yosef Festo Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Na kabla ya kufungiwa mpaka Uhuru na Raila woote walikuwa busy kumtafuta JPM! Usicheze hata kidogo na mwenye kukulisha na kukufanya uende chooni! Anamiliki ufunguo wa mlango wa "choo"!Kasema uhuru kanipigia cm , ninyi mlivyofunga Kuna kiongozi yeyote aliewapigia cm lakin TZ cku 1 tu kaanza balozi wenu leo kapiga cm mkulu wenu ulishamuona balozi wetu huko kulialia Kama wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Na kabla ya kufungiwa mpaka Uhuru na Raila woote walikuwa busy kumtafuta JPM! Usicheze hata kidogo na mwenye kukulisha na kukufanya uende chooni! Anamiliki ufunguo wa mlango wa "choo"!
Sitaki unijibu kama utaki kunijulisha unapatikana kwa slum gani