Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Kasema uhuru kanipigia cm , ninyi mlivyofunga Kuna kiongozi yeyote aliewapigia cm lakin TZ cku 1 tu kaanza balozi wenu leo kapiga cm mkulu wenu ulishamuona balozi wetu huko kulialia Kama wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Waliongelea swala la nyie kula viboko[emoji23][emoji23][emoji23]
Ishu na kupima madereva iko pale pale na mpaka bado hautofunguliwa..sijui mmetoa kauli za ajabu ajabu kisa mnapimwa, sasa km unapinga njoo na lorry lako mpakani uone km hautopima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heheee!!unajifariji sio, mpaka utaendelea kufungwa na kupimwa mtapimwa tu..

Kwanza wacha hyo wiki wajadiliane hilo la watu wenu kula bakora boder

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ushaujua moyoni mwako , hamuwez kutusumbua na uchumi wenu wamazingaombwe huo uchumi Wala haupo stable kidogo tu ushateterela yani uchumi wenu hauna tofauti na jumba kubwa loote la vioo asitokee mtoto mtukutu akarusha dongo mnakua roho juu[emoji38][emoji38][emoji38]
Heheee!!unajifariji sio, mpaka utaendelea kufungwa na kupimwa mtapimwa tu..

Kwanza wacha hyo wiki wajadiliane hilo la watu wenu kula bakora boder

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ma**ko kwe unadhani wale ma RC wamejiamulia tu bila ya kupewa maelekezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana uchumi waliobaki pande zile za chato[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…