Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Tunahitaji MWIGWAI mwenyewe aje kupigamagoti. wasituletee fitna za kizamani. Sisi ni waswahili original tunaweza kukuchapa makofikidiplomasia bila kujua utashtukia maumivu na hutajua yanatokea wapi. Utaleta vilogic vyako vya kienyeji sisi tuna counter logic za Kiswahili.
 
Sasa why atumwe huyo balozi wenu tutawanyoshaa tu Hadi msalimu amri

Sent using Jamii Forums mobile app
Ooooo!! Sai ndio mnajifanya wakarimu na wakati mkisikia wanajeshi wa ethiopia wamekaribia mpaka wa kenya huaga mnakata mauno kweli na kuliita jeshi letu dhaifu.

Basi mara na nyinyi mumeangukia pua, polisi wa tanzania walitoka nduki baada ya kurusha teargas mbili tatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
That man is just guarding his position. Mtangoja sana border ifunguliwe lakini hamtaona.
 
Wakae wasubiri

Tupo chimbo kuset mapigo mbadala sababu tumepata clip wananchi wetu wanapata kichapo huko Kenya.
 
Hizo ni kauli za kawaida hutolewa na watu tofauti tofauti baina ya hizi nchi zetu.
Kwa hiyo usishtuke.

Lakini mpaka hautofunguliwa, kawatishieni Zambia huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlipima madereva wangapi wa Kenya mpaka sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikua unataka asemeje? Ujinga mlionayo watz, haya bas wacha tuone kama mpaka utafunguliwa na madereva watacha kupimwa. Yule hiyo ni kazi yake analipwa kuhakikisha uhusiano wetu ni mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hzo ni kauli za kawaida hutolewa na watu tofauti tofauti baina ya hzi nchi zetu..
Kwhyo usishtuke..
Lkn mpka hautofunguliwa, kawatishieni zambia hko

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabudi kamwambia he will get back to him in a week! Ile Rapid credit facility ya IMF lazma itumike kuagiza chakula chenu Mexico!
 
Ulkua unataka asemeje?.?ujinga mlionayo watz, haya bac wacha tuone kama mpaka utafunguliwa na madereva watacha kupimwa....yule hiyo ni kazi yake analipwa kuhakikisha uhusiano wetu ni mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza today again expect to see more than 50 positive Tanzanian drivers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…