MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
Kakubali kuwa Tanzania na kenya ndio miamba ya uchumi EA. Wawe na heshima sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooo!! Sai ndio mnajifanya wakarimu na wakati mkisikia wanajeshi wa ethiopia wamekaribia mpaka wa kenya huaga mnakata mauno kweli na kuliita jeshi letu dhaifu.Sasa why atumwe huyo balozi wenu tutawanyoshaa tu Hadi msalimu amri
Sent using Jamii Forums mobile app
Alaaa!!leo ndio mnajua km kuna sheria wakati mlitucheka kusikia majeshi somalia na ethiopia wamepigana mpakani..
Nakuambia hile video imenichekesha sana. Kwanza venye watanzania wanakimbia wakipewa viboko😂😂Alaaa!!leo ndio mnajua km kuna sheria wakati mlitucheka kusikia majeshi somalia na ethiopia wamepigana mpakani..
Wanafiki nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipima madereva wangapi wa Kenya mpaka sasa?CHA KUSHANGAZA.
Dereva wa Kenya akija kuchukua mzigo Tanzania anaweza kukaa Hadi wiki lakini akifika mpakani kwao anaonekana ni Negative lakini wa Tanzania ni positive. Madereva wa Kenya na raia wa Kenya wanaorudi Kenya toka Tanzania hawaonekani wakiwa na Corona kwa maana hiyo Corona inabagua Nationality.
Point of correction. Wanapata kichapo Tanzania.Wakae wasubiri
Tupo chimbo kuset mapigo mbadala sababu tumepata clip wananchi wetu wanapata kichapo huko Kenya.
Kabudi kamwambia he will get back to him in a week! Ile Rapid credit facility ya IMF lazma itumike kuagiza chakula chenu Mexico!Hzo ni kauli za kawaida hutolewa na watu tofauti tofauti baina ya hzi nchi zetu..
Kwhyo usishtuke..
Lkn mpka hautofunguliwa, kawatishieni zambia hko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kasema Uhuru kamtuma! Na yuko Mombasa hivyo! Akirudi quarantine kwanza!Naomba kujua nani kampa kibali cha kuhutubia watanzania?
Kwanza today again expect to see more than 50 positive Tanzanian drivers.Ulkua unataka asemeje?.?ujinga mlionayo watz, haya bac wacha tuone kama mpaka utafunguliwa na madereva watacha kupimwa....yule hiyo ni kazi yake analipwa kuhakikisha uhusiano wetu ni mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki sio mbaliKabudi kamwambia he will get back to him in a week! Ile Rapid credit facility ya IMF lazma itumike kuagiza chakula chenu Mexico!
Huko nayo hiyo video?Nakuambia hile video imenichekesha sana. Kwanza venye watanzania wanakimbia wakipewa viboko[emoji23][emoji23]
Lazima awahutubie, tena live..Naomba kujua nani kampa kibali cha kuhutubia watanzania?