Let's wait and see kama border itafunguliwa. Huyo ashawaingiza tu box hivo.Kasema Uhuru kamtuma! Na yuko Mombasa hivyo! Akirudi quarantine kwanza!
Ok kumbe unajiona unanguvu kwa police wenu kuingia tz? Sawa sawa hamna shida..Alaaa!!leo ndio mnajua kama kuna sheria wakati mlitucheka kusikia majeshi Somalia na Ethiopia wamepigana mpakani..
Wanafiki nyinyi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikose nichekwe?😂😂😂
LOL so they recruited our media to Mombasa at their own cost?Kasema Uhuru kamtuma! Na yuko Mombasa hivyo! Akirudi quarantine kwanza!
Mnajibiwa kulingana na uhalisia wenu, kila kitu na zamu..sahihi ndio zamu yenu, kama jeshi lenu ni dhaifu ni dhaifu tuOk kumbe unajiona unanguvu kwa police wenu kuingia tz???? Sawa sawa hamna shida..
Ila nakushauri ka unandugu huko mpakani mpigie simu mwambie aondoke huko ka unampenda sawa mama
Sent using Jamii Forums mobile app
The guy is in Tanzania. Angekuwa Mombasa ungeona Kenyan media hapo.LOL so they recruited our media to Mombasa at their own cost?
Unaeza kuona namna wanavyoweweseka hahaha ni jana tu tumepiga chafya mende wote chali
Em akae kwa kutulia ndio kwaaanza tunajiset kuja na kubwa.
Zambia anayo factsheet yetu mkononi bado.
Hahaha Geza tuna chakula kingi sana kenya mnajiaminisha kenya hakuna chakula na propaganda zenu, tunaagiza tu chakula kidogo kufill deficit... Kwa mfano mwaka huu wakulima wa kenya wanatarajiwa kuvuna mahindi gunia 45m ila consumption ya kenya ni 47m bags per year kwaivo tutahitaji kuimport 2m bags.hizo ni kidogo sana ata uganda wanaweza kusupply zoteKabudi kamwambia he will get back to him in a week! Ile Rapid credit facility ya IMF lazma itumike kuagiza chakula chenu Mexico!
Naona unajifurahisha, hakuna mpka kufunguliwa boss, na mtapimwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]LOL so they recruited our media to Mombasa at their own cost?
Unaeza kuona namna wanavyoweweseka hahaha ni jana tu tumepiga chafya mende wote chali
Em akae kwa kutulia ndio kwaaanza tunajiset kuja na kubwa.
Zambia anayo factsheet yetu mkononi bado.
Waache wajifurahisheHahaha Geza tuna chakula kingi sana kenya mnajiaminisha kenya hakuna chakula na propaganda zenu, tunaagiza tu chakula kidogo kufill deficit... Kwa mfano mwaka huu wakulima wa kenya wanatarajiwa kuvuna mahindi gunia 45m ila consumption ya kenya ni 47m bags per year kwaivo tutahitaji kuimport 2m bags.hizo ni kidogo sana ata uganda wanaweza kusupply zote
Sent using Jamii Forums mobile app
The guy is in Tanzania. Angekuwa Mombasa ungeona Kenyan media hapo.Kasema Uhuru kamtuma! Na yuko Mombasa hivyo! Akirudi quarantine kwanza!
Et jeshi dhaifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe Dada kweli kituko...Mnajibiwa kulingana na uhalisia wwnu, kila kitu na zamu..sahi ndio zamu yenu, km jeshi lenu ni dhaifu ni dhaifu tu
Feel the pain bro
Sent using Jamii Forums mobile app
Tayari mshapigwaHapo ndio kwanza tumejaribu tu bado tujachukua hatua tukichukua hatua nazani maandamano Kenya nzima hata hiyo lockdown haitakuwepo cc ndio tunawawezesha wakae hiyo lockdown yao ya unafiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Polisi wenu jana walitoroka huko Namanga. Ama unapinga nikuprove?😂😂Et jeshi dhaifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Dada kweli kituko...sikujua kuwa najibishana na mjinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Hivi unajua hata mkileta fujo huko mpakani tunawaletea tu police wa kawaida maana jeshi letu haliwez pigana na nyie sio level zetu...
Nyie jeshi lenu ni size ya migamboo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi lenu sai halina time, wanabangua korosho..Et jeshi dhaifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Dada kweli kituko...sikujua kuwa najibishana na mjinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Hivi unajua hata mkileta fujo huko mpakani tunawaletea tu police wa kawaida maana jeshi letu haliwez pigana na nyie sio level zetu...
Nyie jeshi lenu ni size ya migamboo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga huyo, jeshi lao la poilisi jana walikimbia baada ya kurusha teargas mbiliPolisi wenu jana walitoroka huko Namanga. Ama unapinga nikuprove?[emoji23][emoji23]