Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Balozi wa Kenya nchini Tanzania: Hatuiangalii Tanzania kama jirani bali kama Ndugu. Sisi sio maadui, adui yetu ni Corona

Alaaa!!leo ndio mnajua kama kuna sheria wakati mlitucheka kusikia majeshi Somalia na Ethiopia wamepigana mpakani..

Wanafiki nyinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok kumbe unajiona unanguvu kwa police wenu kuingia tz? Sawa sawa hamna shida..
Ila nakushauri kama unandugu huko mpakani mpigie simu mwambie aondoke huko kama unampenda sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kasema Uhuru kamtuma! Na yuko Mombasa hivyo! Akirudi quarantine kwanza!
LOL so they recruited our media to Mombasa at their own cost?

Unaeza kuona namna wanavyoweweseka hahaha ni jana tu tumepiga chafya mende wote chali

Em akae kwa kutulia ndio kwaaanza tunajiset kuja na kubwa.

Zambia anayo factsheet yetu mkononi bado.
 
Ok kumbe unajiona unanguvu kwa police wenu kuingia tz???? Sawa sawa hamna shida..
Ila nakushauri ka unandugu huko mpakani mpigie simu mwambie aondoke huko ka unampenda sawa mama

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajibiwa kulingana na uhalisia wenu, kila kitu na zamu..sahihi ndio zamu yenu, kama jeshi lenu ni dhaifu ni dhaifu tu

Feel the pain bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amegongwa na vyombo vya habari leo.
“Hakuna Mkenya anayemuombea mabaya Mtanzania, Wakenya tunawaombea Watanzania mpigane na janga hili, na sisi pia mtuombee, tusianze kukorogwa na kirusi hiki, tusianze kugongana kisa corona, Watu watulie, Viongozi wetu watakutana na tutalimaliza” -Balozi Kazungu
#MillardAyoUPDATES millardayo on Twitter

2020
 
LOL so they recruited our media to Mombasa at their own cost?

Unaeza kuona namna wanavyoweweseka hahaha ni jana tu tumepiga chafya mende wote chali

Em akae kwa kutulia ndio kwaaanza tunajiset kuja na kubwa.

Zambia anayo factsheet yetu mkononi bado.
The guy is in Tanzania. Angekuwa Mombasa ungeona Kenyan media hapo.
 
Kabudi kamwambia he will get back to him in a week! Ile Rapid credit facility ya IMF lazma itumike kuagiza chakula chenu Mexico!
Hahaha Geza tuna chakula kingi sana kenya mnajiaminisha kenya hakuna chakula na propaganda zenu, tunaagiza tu chakula kidogo kufill deficit... Kwa mfano mwaka huu wakulima wa kenya wanatarajiwa kuvuna mahindi gunia 45m ila consumption ya kenya ni 47m bags per year kwaivo tutahitaji kuimport 2m bags.hizo ni kidogo sana ata uganda wanaweza kusupply zote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL so they recruited our media to Mombasa at their own cost?

Unaeza kuona namna wanavyoweweseka hahaha ni jana tu tumepiga chafya mende wote chali

Em akae kwa kutulia ndio kwaaanza tunajiset kuja na kubwa.

Zambia anayo factsheet yetu mkononi bado.
Naona unajifurahisha, hakuna mpka kufunguliwa boss, na mtapimwa tu[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Movi la kutisha
EYTWQJ9WAAA-I68.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Geza tuna chakula kingi sana kenya mnajiaminisha kenya hakuna chakula na propaganda zenu, tunaagiza tu chakula kidogo kufill deficit... Kwa mfano mwaka huu wakulima wa kenya wanatarajiwa kuvuna mahindi gunia 45m ila consumption ya kenya ni 47m bags per year kwaivo tutahitaji kuimport 2m bags.hizo ni kidogo sana ata uganda wanaweza kusupply zote

Sent using Jamii Forums mobile app
Waache wajifurahishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wanajitambua Rais wao hana PhD fake wala mkuu wao wamkoa ajapata zero...labda tulichowazdi sisi tuna Mungu wa Africa anaitwa Mbowe
 
Mnajibiwa kulingana na uhalisia wwnu, kila kitu na zamu..sahi ndio zamu yenu, km jeshi lenu ni dhaifu ni dhaifu tu

Feel the pain bro

Sent using Jamii Forums mobile app
Et jeshi dhaifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe Dada kweli kituko...

Sikujua kuwa najibishana na mjinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Hivi unajua hata mkileta fujo huko mpakani tunawaletea tu police wa kawaida maana jeshi letu haliwez pigana na nyie sio level zetu...

Nyie jeshi lenu ni size ya migamboo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Et jeshi dhaifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Dada kweli kituko...sikujua kuwa najibishana na mjinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Polisi wenu jana walitoroka huko Namanga. Ama unapinga nikuprove?😂😂
 
Et jeshi dhaifu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee Dada kweli kituko...sikujua kuwa najibishana na mjinga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
Hivi unajua hata mkileta fujo huko mpakani tunawaletea tu police wa kawaida maana jeshi letu haliwez pigana na nyie sio level zetu...
Nyie jeshi lenu ni size ya migamboo

Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi lenu sai halina time, wanabangua korosho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom