mama kubwa
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 6,230
- 9,889
Da hizi elimu za chini ya miti kazi , mtoa mada kajikurupukia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo tume huru tumdai nani?Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.
😂😂😂😂😂😂😂 poleee mkuu kwa maumivuccm bwana mabeberu wakiwa kwao wanabadilishwa jina, anakuwa mwekezaji,
hiki chama kina watu wa hovyo hovyo sana
Kama Marekani ni mbinguni basi watahuzunika sanaLazima diplomasia iendelee. Na uhusiano wa Marekani na Tanzania hakuujenga Magufuli. Hivo kwa lugha nyepesi mahisiano na Watanzania yataendelea lakini kina makonda bado hawapati visa na list itaingezeka soon
Ukituliza Akili yako kabisa na Kuisoma vyema hii 'post' ya huyu Balozi utakubaliana nami kuwa Marekani si tu ni Wanafiki bali ni Wavurugaji mno tu.Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.
Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025
===
"Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za binadamu unaoendelea lakini nimehudhuria hafla ya leo Dodoma kutoa ishara kwamba uhusiano wa muda mrefu wa Marekani na Tanzania na watu wake hautetereki"
I remain deeply troubled by the conduct of the Oct. 28 elections, and by ongoing infringements on human rights, but I attended today's inauguration in Dodoma to signal that America's longstanding partnership with Tanzania and her people is unshakeable.
Kama ndo hivo unaonaje mkuu kusiwe na uchaguzi kabisa yani mwaka wa uchaguzi ukifika serikali itangaze kuwa hakuna uchaguzi tuanaendelea na serikali iliyopo kuliko kupoteza pesa bureMbona tuliwashauri hivyo 2015 nyie mkawa kila siku mnajipanga kujadili kingereza cha Magu?
Hakuna jipya litatokea chini ya chadema hii ya kina Lissu
Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.
Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.