Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani ahudhuria hafla ya kumuapisha Rais Magufuli Dodoma, asema ni ishara kuwa uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi mbili hautetereki

Uchaguzi 2020 Balozi wa Marekani ahudhuria hafla ya kumuapisha Rais Magufuli Dodoma, asema ni ishara kuwa uhusiano wa muda mrefu kati ya nchi mbili hautetereki

Da hizi elimu za chini ya miti kazi , mtoa mada kajikurupukia.
 
Lazima diplomasia iendelee. Na uhusiano wa Marekani na Tanzania hakuujenga Magufuli. Hivo kwa lugha nyepesi mahisiano na Watanzania yataendelea lakini kina makonda bado hawapati visa na list itaingezeka soon
Kama Marekani ni mbinguni basi watahuzunika sana
 
Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.
Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025

===
"Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za binadamu unaoendelea lakini nimehudhuria hafla ya leo Dodoma kutoa ishara kwamba uhusiano wa muda mrefu wa Marekani na Tanzania na watu wake hautetereki"

I remain deeply troubled by the conduct of the Oct. 28 elections, and by ongoing infringements on human rights, but I attended today's inauguration in Dodoma to signal that America's longstanding partnership with Tanzania and her people is unshakeable.

Ukituliza Akili yako kabisa na Kuisoma vyema hii 'post' ya huyu Balozi utakubaliana nami kuwa Marekani si tu ni Wanafiki bali ni Wavurugaji mno tu.
 
Mbona tuliwashauri hivyo 2015 nyie mkawa kila siku mnajipanga kujadili kingereza cha Magu?

Hakuna jipya litatokea chini ya chadema hii ya kina Lissu
Kama ndo hivo unaonaje mkuu kusiwe na uchaguzi kabisa yani mwaka wa uchaguzi ukifika serikali itangaze kuwa hakuna uchaguzi tuanaendelea na serikali iliyopo kuliko kupoteza pesa bure
 
Labda tujipange kudai Tume Huru lakini sio kushiriki chaguzi tena chini ya hii tume.

Kuna mambo ya msingi lazima yakae sawa ndio mtu apewe dola. Upinzani ni muhimu sana. Upinzani wa kisanii itakuwa hasara yetu.
Pengine ni wakati muafaka sasa, hata CCM waangalie namna ya kusaidia vyama bora vya upinzani vikue. Ili wakati muafaka ukifika, kwa manufaa Mapana ya nchi yetu waweze kuongoza.
Wasituletee madalali. Hao wanawafaa wenyewe sio nchi yetu
 
Walifikiri hataenda kwenye sherehe za kumuapisha JPM.
Sasa nashauri waanze kujipanga kwa 2025

===
"Bado nasumbuka sana na mwenendo wa uchaguzi uliofanyika Octoba 28 na ukiukaji wa haki za binadamu unaoendelea lakini nimehudhuria hafla ya leo Dodoma kutoa ishara kwamba uhusiano wa muda mrefu wa Marekani na Tanzania na watu wake hautetereki"

I remain deeply troubled by the conduct of the Oct. 28 elections, and by ongoing infringements on human rights, but I attended today's inauguration in Dodoma to signal that America's longstanding partnership with Tanzania and her people is unshakeable.

Charity begins at home. Kabla hajapoteza muda na TZ election fraud claims zinazotolewa na kina Savimbi wa Tanzania, anapaswa kuhangaikia kwanza U.S. election fraud claims zinazotolewa na Rais Trump!

Trump has told people he has no plans to concede even if his path to victory is blocked
 
Back
Top Bottom