Mkuu mbona una makasiriko na lugha kali hivyo kwenye mijadala inayohitaji kutumia ubongo tu. Mbona unaenda mbali sana bila sababu yoyote ile? Huoni kama tumeamua kukubali kusaidiwa na hatuwezi kwenda bila hiyo misaada na mikopo? Tafadhali acha hizo lugha za kihuni na tuendelee na mjadala kama watu wenye bongo zetu kamili.Ngoja pesa za kupewa maana kazi hutaki , angalia marinda hayo maana unakosa msimamo kwa mabwana zako 😀 😀
Wapuuzi tu. Huwa wanajiona wa maana wanapokuta nchi imejaa wanaharakati machawa kama hawa waliopo bongo.Hawa jamaa hata Museven aliwachana kuhusu ushoga.
Rais kashaongea we muoga unapiga keleke kwa ID ya kujificha , ukileta fujo mtachapa sana maana hamna akili ...Nendeni huko kweny democracy watu wanapigwa risasi kila siku .Mkuu mbona una makasiriko na lugha kali hivyo kwenye mijadala inayohitaji kutumia ubongo tu. Mbona unaenda mbali sana bila sababu yoyote ile? Huoni kama tumeamua kukubali kusaidiwa na hatuwezi kwenda bila hiyo misaada na mikopo? Tafadhali acha hizo lugha za kihuni na tuendelee na mjadala kama watu wenye bongo zetu kamili.
Wewe punguani, umeandika nini hiki..kwahiyo alikua anahitaji sifa, alikua anahitaji kuabudiwa na kupigiwa makofi?
au kuna siku au mahali nchi yake ililazimishwa kuleta misaada Tanzania na kwengineko duniani?🐒
au ni kimbelembele tu na kutaka sifa za kijinga?🤣
Lini Marekani mtu ameua au kupiga risasi na asikamatwe? kutoa ushauri kwamba serikali iunde tume huru ni vibaya?Hao ni binadamu tu, kisa wanawapa pesa nyinyi wanaharakati wa siasa za bongo haIwafanyi wakawa wamefikia hatua za umalaika, ni binadamu wenye kukosolewa na kuambiwa ukweli pale wanapokengeuka.
Wangetaka machafuko, hiyo pesa wangeitumia hata hao walinzi wangemgeuka.Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Sister mbona kama huu ujauzito unakutesa sn! pole lakiniHata hja ya ushoga umekubali kenge wewe , ukiwa maskini unaitika tu...Kaangalie kwenu mashoga kibao maana hamna msimamo 😀 😀 😀
Nakushauri umtafute mtaalamu wa magonjwa ya akili mapema kabisa, naona upstair una tatizo kubwa sana.Rais kashaongea we muoga unapiga keleke kwa ID ya kujificha , ukileta fujo mtachapa sana maana hamna akili ...Nendeni huko kweny democracy watu wanapigwa risasi kila siku .
Kwao hamna homeless? Watoe umaskini wa kwao ubaki zero kabisa ?Wangeta machafukp hiyo pesa wangeitumia hata hao walinzi wangemgeuka.
We hauna athari ni nyuzi hata wiki mtakuwa kimya 😀 😀 😀Una njaa sasa msubirie USA akupe chakula.Nakushauri umtafute mtaalamu wa magonjwa ya akili mapema kabisa, naona upstair una tatizo kubwa sana.
Marekani kuna maelfu ya kesi zinazochukua miaka bila ya kujulikana nani ni muuaji na ana malengo gani (cold cases).Lini Marekani mtu ameua au kupiga risasi na asikamatwe? kutoa ushauri kwamba serikali iunde tume huru ni vibaya?
Naongelea kukamatwa, imagine angekuwa ameuliwa mzanzibar au mwanaccm angekuwa hajakamatwa mpk sasa? tuache ushabikiMarekani kuna maelfu ya kesi zinazochukua miaka bila ya kujulikana nani ni muuaji na ana malengo gani (cold cases).
Zinaweza zikawa hai hata kwa miaka 30 mpaka ushahidi kamili upatikane ndio hukumu inatolewa.
Wale siyo kwasababu ya umasikini. Wengi ni veterans ambao waliathiriwa na vita pamoja na wengine walioathiriwa na madawa ya kulevya.Kwao hamna homeless? Watoe umaskini wa kwao ubaki zero kabisa ?
Kwani nani alisema vinakubaliwa?Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Kwa kuongezea tu.Mkuu pale wana kitengo cha kutafsiri vitu hadi magazeti ya kiswahili huwa yanatafsiriwa. Ndio maana wanajua mengi ya nchi kuliko sisi wenyewe
Balozi kanena vyema. Bila demokrasia ni kama kutwanga maji kwenye kinu,maendeleo tutayasikia tu.Harafu kuna kenge wa CCM, anasema, hii nchi huru hatupangiwi! Pambafu!
Hongera America, bravo Mr Michael battle(balozi wa USA), na kwa wale vilaza wa CCM,
Huyo balozi, Mwanajeshi, mstaafu, ni pastor, na ni carrier diplomat,
Sio hawa, wa kwenu,kikubwa walichonacho, ni kadi za TANU, za, babu zao,na PHD za kuokota,
Acha uongo ....Basi hujafika USA ..Wale siyo kwasababu ya umasikini. Wengi ni veterans ambao waliathiriwa na vita pamoja na wengine walioathiriwa na madawa ya kulevya.