Mkuu mbona una makasiriko na lugha kali hivyo kwenye mijadala inayohitaji kutumia ubongo tu. Mbona unaenda mbali sana bila sababu yoyote ile? Huoni kama tumeamua kukubali kusaidiwa na hatuwezi kwenda bila hiyo misaada na mikopo? Tafadhali acha hizo lugha za kihuni na tuendelee na mjadala kama watu wenye bongo zetu kamili.Ngoja pesa za kupewa maana kazi hutaki , angalia marinda hayo maana unakosa msimamo kwa mabwana zako 😀 😀