jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Huo ndo ukweli. Fuatilia.Acha uongo ....Basi hujafika USA ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo ukweli. Fuatilia.Acha uongo ....Basi hujafika USA ..
Umeonaa Laiti wangejua pesa zao zinalipa wakina Mafwere wasingetoa hata 50 mbovuMama ana nguruma hadharani akitoka, anatuma wasaidizi wake wakimbie haraka balozini wakanyooshe maneno..... kuwa hakumaanisha alichokisema na ndio maana bado Chadema ipo kwenye payroll ya serikali ..kwakweli kwa uduchu wakodi zetu siku misaada ikikoma ni lazima tuite maji mma........
Huenda kamba zimeongezeka .Kama tumepewa msaada wa zaidi ya trilioni 25 ndani ya hii miaka 3, kwanini Deni letu la Taifa limepanda kutoka trilioni 60 enzi za JPM hadi Trilioni 92 Mwaka huu?
Watu zaidi ya asilimia 11 , ambao ni kama million 30 ni maskini 😀Huo ndo ukweli. Fuatilia.
Wazanzibar wanauwawa kila siku labda mimi na wewe habari zao hatuzijui.Naongelea kukamatwa, imagine angekuwa ameuliwa mzanzibar au mwanaccm angekuwa hajakamatwa mpk sasa? tuache ushabiki
Taja majina yao walioshushwa kwenye mabasi na wengine kutekwa, taja watatu tu mi nitakunya siku 14 bila kupumzikaWazanzibar wanauwawa kila siku labda mimi na wewe habari zao hatuzijui.
Ubaguzi na chuki zinaibuka wakati Rais akiwa mzenji, akiwa wa huku bara idadi ya watanganyika wa mitandaoni inapungua.
Usiwe mjinga Mzee,hakuna mtu aliwafuata watoke Msaada na zimetumika.Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
So foolishSo What?
Akili za wanaharakati ndizo hizi. Wazenji wapo bize kutumia fursa za kiuchumi zinazokwenda sambamba na visiwa vyao kuendelea kufunguka.Taja majina yao walioshushwa kwenye mabasi na wengine kutekwa, taja watatu tu mi nitakunya siku 14 bila kupumzika
sasa muerevu umekurupuka na mihemko tu dah 🤣Wewe punguani, umeandika nini hiki..
Kadanganye UWT wenzio, mzenji gani ana cha maana? danganya wajinga wenzio ambao hawajawahi kufika Zanzibar, umekwepa swali umekuja kwenye fursa. Shame on youAkili za wanaharakati ndizo hizi. Wazenji wapo bize kutumia fursa za kiuchumi zinazokwenda sambamba na visiwa vyao kuendelea kufunguka.
Swali la kijinga tu, ubaguzi ni kwa sababu SSH ni mzenji. Yale yale aliyoyasema hayati Nyerere ndio yanayotokea miaka hii, na yatashindwa tu kwani TZ ni nchi yenye kulindwa na nguvu zilizo kubwa kuliko hizi za kibinadamu.Kadanganye UWT wenzio, mzenji gani ana cha maana? danganya wajinga wenzio ambao hawajawahi kufika Zanzibar, umekwepa swali umekuja kwenye fursa. Shame on you
Majuha utawajua kwa kauli zao za kukurupuka, hivi alivyoingia Samia kwa nini alienda magharibi kuomba misaada na mikopo ambayo ilikuwa imesitishwa irudi?Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Maneno ya namna hii huwa hayana msaada wowote bila ya kuonyesha hizo pesa zimetumika wapi na matokeo yake yakaonekana.Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Wewe ndiyo mjinga, wabaguzi ni nyie wazenji, kwanini hamtaki sisi tupate vitambulisho vya mkazi, tununue ardhi na kugombea nafasi za kisiasa kama nyie huku? jibu tafadhaliSwali la kijinga tu, ubaguzi ni kwa sababu SSH ni mzenji. Yale yale aliyoyasema hayati Nyerere ndio yanayotokea miaka hii, na yatashindwa tu kwani TZ ni nchi yenye kulindwa na nguvu zilizo kubwa kuliko hizi za kibinadamu.
Sikubaliani na wewe na hata huo mfano wa upotoshaji unaomtwisha Mwalimu Nyerere. Sasa hivi mnatumia hivi visingizio kuhalalisha maovu mnayo wafanyia waTanzania.Swali la kijinga tu, ubaguzi ni kwa sababu SSH ni mzenji. Yale yale aliyoyasema hayati Nyerere ndio yanayotokea miaka hii, na yatashindwa tu kwani TZ ni nchi yenye kulindwa na nguvu zilizo kubwa kuliko hizi za kibinadamu.
Nendeni China na uarabuni mkachukue misaadaNi upumbavu kumdhihaki mama eti ametoa hotuba ya kuwakanyaga mabepari kwani Sie hatuna tunachowapa wao? Eti trillions free Tu Nani aliyesema kuna msaada wa bure toka Kwa mzungu?
Pale lugha zote zinatafsiriwa. Hata mkihutubia kiiraq ama kigogo sijui kiwe kisandawe. Balozi inakila kitu. 😃😃😃Mimi nilijua hawatapata tafsiri iliyonyooka kwa sababu hotuba ilikuwa kwa kindengereko.
Kwanini iwe kosa sisi kununua ardhi kwao, fursa za ajira, kitambulisho cha mzanzibar na kugombea nafasi za kisiasa kama wao walivyo huru? hawa wajinga hakuna kucheka nao hata kama Nyerere alisema kwani Nyerere yeye alikuwa malaika? binafsi hata simkubali hata kidogoSikubaliani na wewe na hata huo mfano wa upotoshaji unaomtwisha Mwalimu Nyerere. Sasa hivi mnatumia hivi visingizio kuhalalisha maovu mnayo wafanyia waTanzania.