Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Mama ana nguruma hadharani akitoka, anatuma wasaidizi wake wakimbie haraka balozini wakanyooshe maneno..... kuwa hakumaanisha alichokisema na ndio maana bado Chadema ipo kwenye payroll ya serikali ..kwakweli kwa uduchu wakodi zetu siku misaada ikikoma ni lazima tuite maji mma........
Umeonaa Laiti wangejua pesa zao zinalipa wakina Mafwere wasingetoa hata 50 mbovu
 
Naongelea kukamatwa, imagine angekuwa ameuliwa mzanzibar au mwanaccm angekuwa hajakamatwa mpk sasa? tuache ushabiki
Wazanzibar wanauwawa kila siku labda mimi na wewe habari zao hatuzijui.

Ubaguzi na chuki zinaibuka wakati Rais akiwa mzenji, akiwa wa huku bara idadi ya watanganyika wa mitandaoni inapungua.
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Usiwe mjinga Mzee,hakuna mtu aliwafuata watoke Msaada na zimetumika.

Mwisho kama unadhani Msaada wa Marekani utakuhalalishia kuvunjwa sheria hebu zivunje tuone kama USA atakusaidia.
 
Ni upumbavu kumdhihaki mama eti ametoa hotuba ya kuwakanyaga mabepari kwani Sie hatuna tunachowapa wao? Eti trillions free Tu Nani aliyesema kuna msaada wa bure toka Kwa mzungu?
 
Akili za wanaharakati ndizo hizi. Wazenji wapo bize kutumia fursa za kiuchumi zinazokwenda sambamba na visiwa vyao kuendelea kufunguka.
Kadanganye UWT wenzio, mzenji gani ana cha maana? danganya wajinga wenzio ambao hawajawahi kufika Zanzibar, umekwepa swali umekuja kwenye fursa. Shame on you
 
Kadanganye UWT wenzio, mzenji gani ana cha maana? danganya wajinga wenzio ambao hawajawahi kufika Zanzibar, umekwepa swali umekuja kwenye fursa. Shame on you
Swali la kijinga tu, ubaguzi ni kwa sababu SSH ni mzenji. Yale yale aliyoyasema hayati Nyerere ndio yanayotokea miaka hii, na yatashindwa tu kwani TZ ni nchi yenye kulindwa na nguvu zilizo kubwa kuliko hizi za kibinadamu.
 
Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .

Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Majuha utawajua kwa kauli zao za kukurupuka, hivi alivyoingia Samia kwa nini alienda magharibi kuomba misaada na mikopo ambayo ilikuwa imesitishwa irudi?

Ujuha eti wangeacha tusingekufa njaa hii ni kauli ya juha ambaye hajaenda shule na asiyejua lolote kuhusu uchumi na mahusiano ya kimataifa. Au shule imeshindwa kukusaidia.

Eti hatitaki machafuko kwa hiyo kutekwa, kuuliwa na kuvunjwa katiba na haki ya kuishi kwa wapinzani haiwezi kusababisha machafuko?

Nenda kwao kila ijumaa wanatoa posho kwa wasio na kazi inaitwa social security fund, au lini wewe umewasaidia kiuchumi juha.

Juha wewe mbona huwasemi Urusi waliovamia Ukraine
 
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Maneno ya namna hii huwa hayana msaada wowote bila ya kuonyesha hizo pesa zimetumika wapi na matokeo yake yakaonekana.

Kama zimejenga SGR, itaonekana; kama zimejenga barabara, hizo barabara zitaonekana; kama zimejenga zahanati, zitaonekana. Kama zimesaidia kuwapa uwezo watendaji wetu sehemu mbalimbali, au elimu, matokeo yataonekana.
Dolla Bilioni 7 kwa miaka mitatu ni hela ndefu sana usiyo weza kuificha hivi hivi.

Sasa kama ni pesa imepitia hapa na kurudi huko iliko toka kwa kulipa mishahara na malupulupu ya wataalam ambao hawakuacha chochote hapa baada ya muda wao kuisha, au watawala kuzikwapua; hilo ni jambo jingine.

Ni hivi: Mchina anapojenga reli; hata kama ni mkopo, reli inaonekana; bandari inaonekana imeboreshwa viwanja vya mipira vinaonekana na vinatumika.
Tuache kushangilia hizi hadaa tunazo pewa mara kwa mara na hawa wakubwa.
 
Swali la kijinga tu, ubaguzi ni kwa sababu SSH ni mzenji. Yale yale aliyoyasema hayati Nyerere ndio yanayotokea miaka hii, na yatashindwa tu kwani TZ ni nchi yenye kulindwa na nguvu zilizo kubwa kuliko hizi za kibinadamu.
Wewe ndiyo mjinga, wabaguzi ni nyie wazenji, kwanini hamtaki sisi tupate vitambulisho vya mkazi, tununue ardhi na kugombea nafasi za kisiasa kama nyie huku? jibu tafadhali
 
Swali la kijinga tu, ubaguzi ni kwa sababu SSH ni mzenji. Yale yale aliyoyasema hayati Nyerere ndio yanayotokea miaka hii, na yatashindwa tu kwani TZ ni nchi yenye kulindwa na nguvu zilizo kubwa kuliko hizi za kibinadamu.
Sikubaliani na wewe na hata huo mfano wa upotoshaji unaomtwisha Mwalimu Nyerere. Sasa hivi mnatumia hivi visingizio kuhalalisha maovu mnayo wafanyia waTanzania.
 
Sikubaliani na wewe na hata huo mfano wa upotoshaji unaomtwisha Mwalimu Nyerere. Sasa hivi mnatumia hivi visingizio kuhalalisha maovu mnayo wafanyia waTanzania.
Kwanini iwe kosa sisi kununua ardhi kwao, fursa za ajira, kitambulisho cha mzanzibar na kugombea nafasi za kisiasa kama wao walivyo huru? hawa wajinga hakuna kucheka nao hata kama Nyerere alisema kwani Nyerere yeye alikuwa malaika? binafsi hata simkubali hata kidogo
 
Back
Top Bottom