MAJIYAPWANI
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,726
- 2,691
Anajua zile trilioni za TRA ndo zinatosha endesga nchi wakati aslimia 80% ya wanachi wa tz maskiniMkuu tunafanya kazi lakini haiondoi ukweli Tanzania ni nchi maskini inayotegemea misaada ya wahisani kujikimu. Na wananchi wake wengi ni maskini pia....yote ni kutokana na sera mbovu za chama chenu
Kelele eeeh huku unachukua mchina anakukopa na project anataka kujenga yy ela irudi kwake. shenzi yey hata mkitona vinyeo hana shida ila mtu mweupe ela yake itumike ipasvyo sio akupe ukatume wanajeshi wambake mtt wa watuPamoja na misaada yao,lakini hawana haki ya kuingilia utawala wetu, na wanatakiwa kuheshimu mamlaka zetu, na kama wameona kuna mapungufu mahali waje kwa utaratibu kushauri,siyo kwenda kwenye majukwaa huko na kutupigia kelele!!
Katika vitu usije jarbu hilo suala usijarbu kabisa yani hata shati tu kumgusa usijarbuHuyu Balozi yeye haogopi kutekwa eee
Mbona ukiumwa U.T.I unakimbilia antibayotiksi kwann usinywe mchai mchai?We si uwaambie wasitishe , uliona wapi Hadzabe wakipatiwa chanjo? ...Ishi ni profix maximaization kwa hiyo watufundishe juu ya nn cha kufanya ? Kwa hiyo mabalozi wetu watoe statement juu ya watu kupigwa bastola kila siku huko marekani itakuwa ndio kilichowapeleka ?
Ngoja kupandikizwa chip uwe kama robot .
Unauliza baada ya kuvimbiwa chanjo za bure za Marekani, mbaazi kutoka USA zinakufanya uonekane Mubaba wa maana vinginevyo ungekuwa skeletonised to death na mwisho wakikata mkono wa sweater sasa hivi una paaarrrraaSo What?
Miaka mitatu dola BILIONI 7.5 grant kwa TZ? Hii ni kweli? Naomba mnielimisheNgoja nikazane kula huenda minofu nitaikuta chini.
Baniani iko baya kiatu yake iko dawa
Trillion 25 watupe tu hivi hivi, kwanini baba zetu hao? Waseme ukweli, wamechukua Uranium Tani ngapi?Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Alafu Biden akasema kuwa Trump alijishambulia......Huko Marekani walitaka kumuua Trump sababu mpinzani.. and he has audacity lecturing us about mauaji na utekaji
Huwajui hao watu🤣!Balozi huyo pia aliendelea kusema America itaendelea kumsaidia Tanzania kwa hali na mali bila kuchoka, na pia inakusudia kufanya Tanzania kuwa mashirika wake nambari moja katika maswala ya kimaendeleo!,
Ikiwa ni pamoja na kumpongeza mh. Samia kwa kulisimamia taifa na amani ya Taifa hili,vyema na umakini mkubwa!
Inaonekana mama yenu anaitaka mikopo lakini haitaki demokrasia na haki za binadamu ili aendelee kutawalaJana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.
Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania
Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Mmarekani kukemea mauaji imewakera sana machawakwahiyo alikua anahitaji sifa, alikua anahitaji kuabudiwa na kupigiwa makofi?
au kuna siku au mahali nchi yake ililazimishwa kuleta misaada Tanzania na kwengineko duniani?🐒
au ni kimbelembele tu na kutaka sifa za kijinga?🤣
Hasira za Nini dogoMbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Mama amelewa na vijisenti vya waarabu na wale wahuni wa Dp worldMabalozi wengi ni wanajeshi wa zamani au mashushushu wa zamani.
Empty
Unawafokea na kuwachamba wanakupa msaada wa matrilioni na mikopo ya matrilioni imf na world bank ni zao. Mashirika na NGO nyingi ni zao, zinazotoa misaada ya matrilioni
Akili za akina doto magari hiziMbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .
Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.