Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Mkuu tunafanya kazi lakini haiondoi ukweli Tanzania ni nchi maskini inayotegemea misaada ya wahisani kujikimu. Na wananchi wake wengi ni maskini pia....yote ni kutokana na sera mbovu za chama chenu
Anajua zile trilioni za TRA ndo zinatosha endesga nchi wakati aslimia 80% ya wanachi wa tz maskini
 
Pamoja na misaada yao,lakini hawana haki ya kuingilia utawala wetu, na wanatakiwa kuheshimu mamlaka zetu, na kama wameona kuna mapungufu mahali waje kwa utaratibu kushauri,siyo kwenda kwenye majukwaa huko na kutupigia kelele!!
Kelele eeeh huku unachukua mchina anakukopa na project anataka kujenga yy ela irudi kwake. shenzi yey hata mkitona vinyeo hana shida ila mtu mweupe ela yake itumike ipasvyo sio akupe ukatume wanajeshi wambake mtt wa watu
 
We si uwaambie wasitishe , uliona wapi Hadzabe wakipatiwa chanjo? ...Ishi ni profix maximaization kwa hiyo watufundishe juu ya nn cha kufanya ? Kwa hiyo mabalozi wetu watoe statement juu ya watu kupigwa bastola kila siku huko marekani itakuwa ndio kilichowapeleka ?

Ngoja kupandikizwa chip uwe kama robot .
Mbona ukiumwa U.T.I unakimbilia antibayotiksi kwann usinywe mchai mchai?
 
Hapa duniani hakipo Cha Bure,

Msaada ni mkopo wenye masharti maalum, unaweza usilipe pesa, ukaambiwa wamarekani ndio wapewe hizo KAZI kupitia kampuni zao pesa irudi kwao.
 
Unauliza baada ya kuvimbiwa chanjo za bure za Marekani, mbaazi kutoka USA zinakufanya uonekane Mubaba wa maana vinginevyo ungekuwa skeletonised to death na mwisho wakikata mkono wa sweater sasa hivi una paaarrrraa
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Trillion 25 watupe tu hivi hivi, kwanini baba zetu hao? Waseme ukweli, wamechukua Uranium Tani ngapi?
 
Na wao walichukua nini kwetu? Mimi ni mtu nisiyeamini kuwa kuna msaada wa bure tena kila mwaka, kwa kawaida binadam anatabia ya kumsaaidia mtu mara moja tu, baada ya hapo hawezi kusaidia tena na kama atasaidia basi atatoa huku ananung'unika ila ukimuona mtu anakusaidia kila siku bila kuchoka huwenda anatumia nyota yako kupata hela au kuna masharti ya mganga au kuna mali anasomba kutoka kwako kisha kwa aibu au nafsi kumsuta anakurudishia kidogo.
 
Balozi huyo pia aliendelea kusema America itaendelea kumsaidia Tanzania kwa hali na mali bila kuchoka, na pia inakusudia kufanya Tanzania kuwa mashirika wake nambari moja katika maswala ya kimaendeleo!,
Ikiwa ni pamoja na kumpongeza mh. Samia kwa kulisimamia taifa na amani ya Taifa hili,vyema na umakini mkubwa!
Huwajui hao watu🤣!
Ungejua wanachomfanyia mrusi kupitia Ukraine ungeelewa kuwa shetani hana rafiki.
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
Inaonekana mama yenu anaitaka mikopo lakini haitaki demokrasia na haki za binadamu ili aendelee kutawala

Naona anaanza ku - opt mjia za mtangulizi wake ambazo atafeli kabla kama mtangulizi wake
 
kwahiyo alikua anahitaji sifa, alikua anahitaji kuabudiwa na kupigiwa makofi?

au kuna siku au mahali nchi yake ililazimishwa kuleta misaada Tanzania na kwengineko duniani?🐒

au ni kimbelembele tu na kutaka sifa za kijinga?🤣
Mmarekani kukemea mauaji imewakera sana machawa

Sisi mtu yeyote anaye ungana nasi kutetea Haki za binadamu tunamkaribisha
 
Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .

Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Hasira za Nini dogo
Mmarekani kakemea vitendo viovu vya samia vya kutekwa watu na kuwauwa

Ubaya wake Nini dogo
Ccm ndo Huwa wanashangilia wakipewa misaada, imekuwaje tena mnamchamba don wenu kisa kuwaambia mfuate haki za binadamu??
 
Mabalozi wengi ni wanajeshi wa zamani au mashushushu wa zamani.

Empty

Unawafokea na kuwachamba wanakupa msaada wa matrilioni na mikopo ya matrilioni imf na world bank ni zao. Mashirika na NGO nyingi ni zao, zinazotoa misaada ya matrilioni
Mama amelewa na vijisenti vya waarabu na wale wahuni wa Dp world
 
Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .

Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Akili za akina doto magari hizi

Dogo nenda kajadili mambo ya diamond kukata viono hadharani huku umepotea
 
20240920_132254.jpg
 
Back
Top Bottom