Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Sio wapangie watu na misaada yao ya vilainishi wapeleke israel wanakotaka misaada!
 
Tema mate chini ndugu yangu, acha dharau, Magufuli alikua bonge la liar....anyway acha aendelee kupumzika
 

Maza asituingize chaka na Waarabu wake ....!!
 
Harafu kuna kenge wa CCM, anasema, hii nchi huru hatupangiwi! Pambafu!
Hongera America, bravo Mr Michael battle(balozi wa USA), na kwa wale vilaza wa CCM,
Huyo balozi, Mwanajeshi, mstaafu, ni pastor, na ni carrier diplomat,
Sio hawa, wa kwenu,kikubwa walichonacho, ni kadi za TANU, za, babu zao,na PHD za kuokota,
 
yeye hana shida, hata tukifutiwa misaada watu wakaishi kwa shida kama kipindi cha jiwe, tayari mwarabu keshamuhifadhia za kutosha. abdul amefanya shughuli nyingi kwa kipindi kifupi sana hapo walipo hawana uchungu tena na Tanganyika, na hawana cha kupoteza.
 
Balozi huyo pia aliendelea kusema America itaendelea kumsaidia Tanzania kwa hali na mali bila kuchoka, na pia inakusudia kufanya Tanzania kuwa mashirika wake nambari moja katika maswala ya kimaendeleo!,
Ikiwa ni pamoja na kumpongeza mh. Samia kwa kulisimamia taifa na amani ya Taifa hili,vyema na umakini mkubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…