Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Harafu kuna kenge wa CCM, anasema, hii nchi huru hatupangiwi! Pambafu!
Hongera America, bravo Mr Michael battle(balozi wa USA), na kwa wale vilaza wa CCM,
Huyo balozi, Mwanajeshi, mstaafu, ni pastor, na ni carrier diplomat,
Sio hawa, wa kwenu,kikubwa walichonacho, ni kadi za TANU, za, babu zao,na PHD za kuokota,
Ongeza ndio alieleta deal la kucheza ile movie na Mr P
 
1726815481978.png

Huyu hapa Mwamba, kaonja nguvu ya wananchi wenye hasira huko Bunda
1726815549932.png
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣

Balozi wa Marekani ana tatizo gani? Kwani kutoa misaada ndio kutuingilia mambo yetu ya ndani? Naamini within few months ataondolewa, tangia ile siku ameenda kumuona Sugu nilijua kabisa huyo balozi wa Marekani hapa Tz ni Chadema 100%, balozi gani kila siku anaingilia mambo ya ndani ya serikali..!!
 
Ataondolewa?

Endelea kusubiri meli airport
 
Umekalia msumari
 
Ataondolewa?

Endelea kusubiri meli airport

Kumbe hujui how diplomats wanaweza ondolewa/expelled katika nchi yoyote, Mkuu wa nchi akisema anataka huyo balozi abadilishwe anaondolewa haraka, kumbuka ni Mh. Rais ali accept barua yake ya kuwa balozi hapa nchini na barua ya balozi Mh. Rais akiikubali anaweza pia kuikataa kama anaenda kinyume na maadili ya diplomats, moja wapo ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi husika
 
Kumbe hujui how diplomats wanaweza ondolewa katika nchi yoyote, Mkuu wa nchi akisema anataka huyo balozi abadilishwe anaondolewa haraka, kumbuka ni Mh. Rais ali accept barua yake ya kuwa balozi hapa nchini na barua ya balozi Mh. Rais akiikubali anaweza pia kuikataa kama anaenda kinyume na maadili ya diplomats, moja wapo ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi husika
Sio kuwa sijui. Najua sana.

Hoja yangu mnafanya hayo ili mpate nini? Unajua matokeo ya hicho watakachofanya?
 
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣

Jamaa limemchana live.....
 
Back
Top Bottom