Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Balozi wa Marekani: Kwa Miaka 3 Marekani imetoa msaada Tanzania Dola Bilioni 7.5 sawa na Trilioni 25 za Tanzania. Sio Mkopo ni Msaada tu

Sbb balozi wa Marekani anaingilia siasa za ndani ya nchi ya Tanzania, umeelewa? That only is enough to expel him with immediate effect..!!
Kushangaa marekani kuingilia siasa za ndani ni kukosa akili. Marekani hiyo ndio kaze yake kubwa, sio Tanzania tu bali kwa nchi nyingi duniani. Sijui Kama unahitai mifano au hujui kinachoendelea duniani sio sasa tu hata huko nyuma

Ukweli mchungu sio Tz tu, nchi nyingi hazina uwezo wa kumzuia aisiingilie
 
Hayo maswali sasa magumu sana! Htaki wazitumie kujenga mahekalu na miradi yao nini?
Nafahamu wages bills ya Tanzania ni zaidi ya bilioni 650 Kwa Mwezi, lakini mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) huwa wanasema wanakusanya wastani ya shilingi trilioni 1.7 Kwa Mwezi.

Ina maana tuna wastani wa kubaki na shilingi trilioni 1 kwaajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo ukitoa hizo gharama za kulipa Mishahara bilioni 650.

Sasa hayo madeni yanaongezekaje wakati tunakusanya fedha za kutosha?
 
Muda utaongea
Unajua ni miaka mingapi ishapita tangia waanze hii misaada? Na imetufikisha wapi.
Misaada hii ilianza kwa ajili ya kuwasaidia Wazungu wenyewe. Na ina endelea kuwasaidia wao wenyewe na ajenda zao.

Malkia wa Uingereza aliwahi kutoa £20 kama mchango wake kwa misaada inayokuja Afrika, lakini uliza ilienda kumsaidia nani? Na bado alisema ametoa msaada🙌🏾

nonetheless

Fedha hizi ni nyingi sana kwa miaka mitatu $7.5billion? sidhani hata biashara baina ya nchi hizi mbili zinafikia huko. Zimefanya nini tangible?

Natamani nikafukue moyo wa Livingstone Ilala.
 
hata kama w
Jana katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Balozi wa Marekani kamjibu yule aliyewatishia. Kasema Vitendo vya Ukatili, Utekaji na Mauaji havikubaliwi na Demokrasia yeyote. Si Marekani si Tanzania.

Ameenda mbali kwa kusema kwa miaka mitatu tu Marekani imetoa msaada kwa Tanzania wa dola bilioni 7.5 na hizi sio mkopo ni msaada tu! Kwa msio jua hizi ni karibu na trilion 25 za Kitanzania

Kazi kwenu wananzengo. Mie naongeza popcorn.🤣🤣🤣View attachment 3100891
anatoa misaada lakin wasituingilie mambo yetu yandani na hakuna mtu anaye penda mauaji wala utekaji nasisi tuna mbinu za kuyazuia wasitupangie sana watushauri tu
 
Maskini ni wewe choko , eti unapewa msaada fanya kazi mtoto wa kiume ...Unashobokea watu wala hwakujui kiande 😀 😀 😀
Mkuu tunafanya kazi lakini haiondoi ukweli Tanzania ni nchi maskini inayotegemea misaada ya wahisani kujikimu. Na wananchi wake wengi ni maskini pia....yote ni kutokana na sera mbovu za chama chenu
 
Mbona Magufuli alikuwa anasema kutwa , hakuna lolote msaada sio lazima ...Wangeacha tungeishi maana hata pesa wanaprint wao ....Hatuwezi kufa njaa ng'o hizo pesa wanakula wachache .

Ukweli ni kwamba hwana ubavu wa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yoyote hatutaki machafuko ....Afrika inaweza kuwepo bila ya hao , wanaimarisha uhusiano tu ...Huko kwao kuna homeless si wafute umaskini usome zero .! watu ambao wanafadhili mpaka vita ili wengine wauawe.
Kauli ya Samia ilikuwa haina maana wala faida...
Ingawa mentality ya kwamba kuna watu tunawategemea ili tuishi au wanatoa tu bila kufaidika na lolote ni mentality mbovu..., na pia ukiishi kwa kutegemea fadhira za wengine wewe ni mtumwa...

Sawa sio watu wema kwa kutupa msaada wa pesa!!! Je kukemea mauaji ya ndugu zetu?? Utekaji?

Nyie sijui *"('yjssy iisysny id jsysjtae*_-#>#?&>-#
Izshkjm.jddisdddulsusutsutsiysdhumd-$#@#/$$
 
Sawa sio watu wema kwa kutupa msaada wa pesa!!! Je kukemea mauaji ya ndugu zetu?? Utekaji?

Nyie sijui *"('yjssy iisysny id jsysjtae*_-#>#?&>-#
Izshkjm.jddisdddulsusutsutsiysdhumd-$#@#/$$
Unajua hata kusoma ? Nani amesema kauli ya Samia ni Sawa ? Au nani kasema tusipokee misaada ? Moja nimekwambia kutegemea misaada au fadhira ni utumwa na mentality mbovu kuliko zote..., mbili nimekwambia kuwa kwako tegemezi utajikuta unalipia kuliko hata ulichopewa...
 
Kushangaa marekani kuingilia siasa za ndani ni kukosa akili. Marekani hiyo ndio kaze yake kubwa, sio Tanzania tu bali kwa nchi nyingi duniani. Sijui Kama unahitai mifano au hujui kinachoendelea duniani sio sasa tu hata huko nyuma

Ukweli mchungu sio Tz tu, nchi nyingi hazina uwezo wa kumzuia aisiingilie

Wewe ni nyoko, hujui kitu, diplomatic laws and its regs zipo, so acha kukariri, sio kazi ya Marekani kuingilia siasa za ndani ya nchi yoyote ile.
 
Unajua hata kusoma ? Nani amesema kauli ya Samia ni Sawa ? Au nani kasema tusipokee misaada ? Moja nimekwambia kutegemea misaada au fadhira ni utumwa na mentality mbovu kuliko zote..., mbili nimekwambia kuwa kwako tegemezi utajikuta unalipia kuliko hata ulichopewa...
Kusoma sijui lakini najua kuandika!! Binafsi sizungumzii kauli, nazungumzia matendo!!

Hakuna binadamu mwenye akili timamu atashiliki na kutetea mauaji ya mwanadamu mwenzie!! Huo ni unyama

Mwisho
@@@!==+÷=÷$^[[>&*[(,:%#÷/77=#$$22$":&&

It my hope [emoji120] you f@cked up
 
Acheni kutembeza bakuli sasa
mama samia.png
 
Wewe ni nyoko, hujui kitu, diplomatic laws and its regs zipo, so acha kukariri, sio kazi ya Marekani kuingilia siasa za ndani ya nchi yoyote ile.
Umetukana bure tu, nimekuambia marekani huwa anaingilia siasa za ndani vizuri sana. Hizo diplomatic laws huwa kwake hazifanyi kazi. Miaka yote ambayo anaingilia siasa za ndani kuna nani amemfanya chochote? Marekani anapoamua kushirikiana na baadhi ya kivundi kupindua hadi serikali ni Nani amewahi kuwafanya chochote?
 
Back
Top Bottom